Watanzania na michezo

Quicklime

Senior Member
Mar 30, 2011
174
62
Habari wanajamvi, ning msukumo wa dhati kutoka ndani kabisa ya moyo wangu kuhusu michezo.jana kuna mashindano ya riadha yalianza pale uwanja wa taifa yakishirikisha mataifa ya kutosha tu lakini mashabiki waliofika pale ni wachache ukilinganisha na hadhi ya mashindano yenyewe kwani kwa mtazamo wngu idadi ya waandishi wa habari ilikuwa kubwa kuliko mashabiki,kwa nn kuwa hvyo? Pili niliitazama kupitia itv haivutii kwa kweli kutokana na tecknology ndogo. Au kiingilio pia ni kikubwa?
 
Back
Top Bottom