Watanzania na falsafa ya ovyo

Watanzania na falsafa ya ovyo

kahigi derick

New Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Ni falsafa kinaifu na kanganyifu iloota mbawa mioyoni mwa watanzania walo wengi hasa mama zetu wapendwa ambao kwa mda mrefu wamekuwa mtaji mkubwa wa chama tawala kwenye chaguzi mbalimbali, AMUA OVYO, CHAGUA CCM OVYO, CCM TENDA OVYO, ADHIRIKA OVYO, LALAMIKA OVYO.
 
Back
Top Bottom