faru joni
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 478
- 734
Ndugu wana jamiiforum, naombeni msaada wenu, nasumbuliwa sana na kifua.
Dalili ninazoziskia mpaka muda huu ni hizi hapa:
1. Kwanza nianze kusema sikohoi kabisa, nikimeza mate naskia mkwamo wa kitu kooni, ila nikimeza chakula naskia kawaida (kwenye kumeza chakula sisikii maumivu yeyote)
2. Kwenye upande wa kulia wa kifua (upande wa juu) kuna muda naskia maumivu ambayo yanashuka kwa chini kuna muda naskia normal (sisikii maumivu)
3. Sina mafua wala maumivu ya kichwa.
4. Hii hali ilinianza tangu mwezi wa 3 mwishoni (2020) nilienda hospita nikapewa dawa, dozi ya siku 10 nikatumia, baada ya siku 8 kumaliza dozi hali ikarudi upya ya kusikia mkwamo ninapomeza mate.
Maombni yangu kwenu:
Nimeskia kuna mchanyiko wa asali + limao na tangawizi je inaweza nisaidia? Kama mchanyiko uwo unaweza nisaidia je nauandaaje au naongezea na nini kingine?
Kama kuna njia nyingine ya kitabibu ya kuponyesha hii hali yangu naombeni mnisaidie ndugu zangu
Natanguliza shukrani na matarajio mazuri kwenye ili kutoka kwenu.
Mungu awabariki sana.