Kila sekta muheshimiwa kuanzia kwenye uwekezaji,uchumi, soko la fedha, haki za binadamu, ajira, afya, rasilimali za wananchi,elimu, rasilimimali watu na kadhalika. Sielewi nchi yetu inaelekea wapi yaani ni kama mtoto aliyekanyaga gear kwenye gari ikiwa gari iko kwenye mwendo na hajui la kufanya.