Hivi kwa maoni yenu nchi yetu inaelekea wapi? Yaani nikimaanisha tunaelekea pabaya ama pazuri.
Long story short...Inaelekea kusikojulikana
Mwenzio mi mMongolia siku hizi......huko Tanzania kwenu mtajibeba.......
Mwenzio mi mMongolia siku hizi......huko Tanzania kwenu mtajibeba.......
Mie, sio mtanzania ni mghana
Inaelekea Kanani!
Mwenzio mi mMongolia siku hizi......huko Tanzania kwenu mtajibeba.......
Mghana Msindai a former Iramba East Hon. MP ?
Kwa hiyo Musa wetu ni yupi sasa?