Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,312
Tuweke ushabiki pembeni watz mnaweza nini hasa kufanya mpka mtu akasema yes umefanya vyema?
Naamini watu wengi mnaopinga uwekezaji wa bandari wengi hamjasoma mkataba mnatembea na hoja z lissu na kumuabudu lissu kuwa ana akili sana
Mna msifu lissu ana akili kwasababu ninyi hamna akili na wavivu kusoma mnataka mtafuniwe kila kitu hivi dunia ya leo utakaa usikilize maneno ya kuambiwa? Jiongezeni
Hii bandari ipo hapa miaka na miaka imekuwa inafanya vibaya kila miiaka leo mama samia kachukua hatua ya kuleta mwekezaji ambaye anyone anaonekana kuwa na ubobezi imara lakini wanatokea wapumbavu kupinga
Atakacho sema lissu ndicho na wao wanakibeba bila kukichuja wala kukichambua zaid ya kujazana ujinga tu
Airport pale kuna mwekezaji mjeruman kashafukuza wafanyakazi mpaka anachoka watz wazito kufanya kazi wakifanya wanalipua