hayo magonjwa ya milipuko yenyewe hayaui hivyo ijekua kioo cha simu?
hii ni research imefanyika kwa muda wa miaka 11 imeonekana hakuna madhara ya simu
11-year long study found ?no evidence? of cell phone-related adverse health effects
wewe utakua huna simu ya touch toleo jipya kama adroid samsungs gallax version zote na toucha zote mpya jaribu kwanza kabla ya kubisha
Acha kudanganya watu hapo ulipo chukua kitambaa lowanisha maji au hata mate then gusisha kwenye kioo uone kaama simu haitasense
Simu kusense kwa kidole inampatia mtumiaji wa simu kumiliki simu yake kwa uhuru bila complications zozote, ebu fukiria bila hiyo technilojia nadhani ingekuwa ni taabu tupu, kwan kila mara simu zingekuwa zinajipiga,au kutuma sms bila idhin ya mtumiaji zinapokuwa mfukoni au kwenywe mkoba
Hivi kwanza kuna mechanism gani hapo mkuu yaani mpaka mm nagusa afu simu inarespond
Naomba kueleweshwa hii wadau wana jukwaa wenzangu
Maana tukielewa hapo utakuta huyu jamaa anayo Point japo Kichwa chake ya habari kina exagerations
Mkuu appoh humu jukwaani tumo health professionals ujue... Sasa maneno yako yamenishangaza mno... Bila damu?
Huz metaka kuchanganyikiwa make mie bila touch now days siezi tumia simu!!!!
simu za touch zinapendwa sana hasa na kina mama
hapo zamani simu hizi za touch zilitengenezewa na vijiti special maarufu kama touch stick bila hivyo vijiti usingeweza kutumia simu kwa maana haitoweza ku sense
simu mpya ni kwamba bila damu haiwezi ku sense kwa maana ya kwamba ukitumia kucha haifanyi kazi wala ukitumia kijiti pia isipokua uweke kidole upande wa damu
Unaweza kujaribu mwenyewe hapo ulipo hivyo unatakiwa kufanya maamuzi sahihi kwani kuna mpango wa siri uliofichika juu ya technolojia hii
Hivi kwanza kuna mechanism gani hapo mkuu yaani mpaka mm nagusa afu simu inarespond
Naomba kueleweshwa hii wadau wana jukwaa wenzangu
Maana tukielewa hapo utakuta huyu jamaa anayo Point japo Kichwa chake ya habari kina exagerations
simu za touch zinapendwa sana hasa na kina mama
hapo zamani simu hizi za touch zilitengenezewa na vijiti special maarufu kama touch stick bila hivyo vijiti usingeweza kutumia simu kwa maana haitoweza ku sense
simu mpya ni kwamba bila damu haiwezi ku sense kwa maana ya kwamba ukitumia kucha haifanyi kazi wala ukitumia kijiti pia isipokua uweke kidole upande wa damu
Unaweza kujaribu mwenyewe hapo ulipo hivyo unatakiwa kufanya maamuzi sahihi kwani kuna mpango wa siri uliofichika juu ya technolojia hii
Hivi kwanza kuna mechanism gani hapo mkuu yaani mpaka mm nagusa afu simu inarespond
Naomba kueleweshwa hii wadau wana jukwaa wenzangu
Maana tukielewa hapo utakuta huyu jamaa anayo Point japo Kichwa chake ya habari kina exagerations
mi nilivojifunza ni hivi...
Kuna layer mbili ya juu ambayo ni digitizer ambayo ni kama keyboard na chini yake kuna lcd display ambayo ni kama output
Unapogusa screen unagusa layer ya juu ambayo ni digitizer ambayo ni multi touch sensitive. Kioo kimedizainiwa kiwe sensitive na vidole kuepuka kujibonyeza kama itakuwa sensitive na kila kitu let say umeweka mfukoni kuna sarafu zikigusa inajibonyeza...
So njia rahisi ikawa ni kuweka iwe sensitive na kidole japo ukitumia surface ya rubber ambayo ina resemble surface ya kidole inakubali
Waweza tembelea youtube kujionea zaidi andika how touch screen displays work
Mimi S4 yanu ina airtouch, inasense hata kabla sijagusisha kidole... Afu bado nina gloves ukivaa unabonya touch screen yoyote bila shida.. Afu kuongelea cancer acha kudanganya watu, hata ugusishe kidole chako miaka mia bila kukitoa hupati cancer ng'o.. Unahitaji elimu kidogo ya haya maswala kabla hujakurupuka kuandika kitu, watu mmepoteza imani kabisa na wanaotengeneza mitambo siku hizi, kila kitu mnadhani wanatengeneza kuwaua.. Jamani wanaotengeneza ni kaka zenu, dada zenu, wajomba zenu.. Kwani engineers wanachimbwa au wanazaliwa na shetani? si tunasoma tunakua engineers. kwa nini niwaue sasa? Em delete post mapema
Naugana na wewe C6 Lakini kuna technology kama ya kwenye mouse touch ya laptop au hizi Airtouch kama aliyosema Dreson4 . Hizi ninanyo jua hutumia umeme wa mwili (electrons) katika sensitivity, ukitumia kitambaa cha jasho kwenye simu ya airtouch au touch ya mfumo huu Itafanya kazi bila shida. Ni sawa na ile experiment ya shule ya msingi ya kuchana nywele kisha kuvuta karatasai kwa kitana. Same applies