Kazimzubwee
Member
- Nov 7, 2016
- 51
- 57
Ni kweli mm ndo niliua tembo mpaka faru john, pia mm ndonilisafirisha twiga,haikutosha nilibeba pesa za escrow kwenye mifuko ya sandarusi,pia ndo nilileta richmond baadae nikaibadili jina ikawa symbion,upo?Mchawi wa TANZANIA ni wewe mwenyewe MLETA UZI......niulize kwa nini nikuambie......
Mchawi wa TANZANIA ni wewe mwenyewe MLETA UZI......niulize kwa nini nikuambie......
UBARIKIWE MKUU KWA KUNIELEWA......Hawezi kukuelewa.
Ukweli lazima usemwe,ujinga miongoni mwetu, ufukara,maradhi,elimu duni, lishe duni haya yote yameletwa na CCM ili kumtawala mtanzania mnyonge.Hata ije serikali awamu ya kumi chini ya CCM tusitegemee watatujali, mfano mh. Sana analalamika kila uchafu na eti amesahau kuwa uchafu wote na majipu anayotumbua mchawi aliesababisha ni CCM akiwemo yy mtumbuaji,ss hii kama sio comedi basi ni sinema.
CCM acheni kutufanya watanzania wote ni mbumbumbu mnatologa wenyewe halafu bila haya msingizia wapinzani,kazi yenu ni kulindana. Maana aliesababisha watumishi hewa yupo mnamuungopa,jangili namba moja nchi hii anapatikana CCM na mnamjua vema,muuza unga mkuu nchi hii ni kada wa CCM,fisadi namba moja ni kigogo wa CCM mnamsingizia lowasa,ipo cku mungu atachoka na unafiki wenu na atawatumbua hakika. Kila baya nchi hii waanzilishi ni nyie CCM halafu mnataka tuwaombee oneni aibu waambie watanzania ukweli kuwa nyie CCM ndo mmeifidi nchi iko juu ya mawe.
HASIRA HASARA. Umeandika kwa hasira propaganda za kijinga !Ukweli lazima usemwe,ujinga miongoni mwetu, ufukara,maradhi,elimu duni, lishe duni haya yote yameletwa na CCM ili kumtawala mtanzania mnyonge.Hata ije serikali awamu ya kumi chini ya CCM tusitegemee watatujali, mfano mh. Sana analalamika kila uchafu na eti amesahau kuwa uchafu wote na majipu anayotumbua mchawi aliesababisha ni CCM akiwemo yy mtumbuaji,ss hii kama sio comedi basi ni sinema.
CCM acheni kutufanya watanzania wote ni mbumbumbu mnatologa wenyewe halafu bila haya msingizia wapinzani,kazi yenu ni kulindana. Maana aliesababisha watumishi hewa yupo mnamuungopa,jangili namba moja nchi hii anapatikana CCM na mnamjua vema,muuza unga mkuu nchi hii ni kada wa CCM,fisadi namba moja ni kigogo wa CCM mnamsingizia lowasa,ipo cku mungu atachoka na unafiki wenu na atawatumbua hakika. Kila baya nchi hii waanzilishi ni nyie CCM halafu mnataka tuwaombee oneni aibu waambie watanzania ukweli kuwa nyie CCM ndo mmeifidi nchi iko juu ya mawe.
Nimeamini ukilaza hàuna dawa, kama huna macho basi hata masikio huna ?Hawezi kukuelewa.
Mjinga wewe[emoji115] [emoji115]HASIRA HASARA. Umeandika kwa hasira propaganda za kijinga !
Nimeamini ukilaza hàuna dawa, kama huna macho basi hata masikio huna ?
KAKA UNAONGELEA,HAKI GANI?KATIBA IPI?HII ILOFUNGWA SANDA?KATIBA HAIFUATWI WALA KUHESHIMIWA NA WATAWALA,UTAPATA HAKI GANI?NAKUOMBA JITAFAKARI WW MWENYEWE UPO KUNDI GANI?LA MJINGA AU MPUMBAVU NI HAYO TU.Nakuhurumia sana Boss,
Unashindwa hata kupambanua vitu vidogo.
Kwa mfano tu, umeongelea CCM,
Ulishawahi kujiuliza nani ni Boss wa hao CCM unaowalalamikia? Boss wa Rais na Serikali ni nani? Pili wewe Boss kama Mtanzania na Mwananchi unazijua Haki zako za Kikatiba na Kisheria? Yaani hata sishangai tunavyoitwa sisi ni Malofa na Wapumbavu. Hata Mwalimu alielezea tofauti ya Ujinga na Upumbavu.
Mjinga akielimishwa na kuelewa sio mjinga. Mpumbavu ni yule anayeelimishwa na bado haelewi, huyo ni Mpumbavu.
Sasa Boss, wewe upo wapi? Kwa Mjinga au Mpumbavu?
Tanzania bado sana aisee.
nakubaliana na wewe na sababu naijua...Mchawi wa TANZANIA ni wewe mwenyewe MLETA UZI......niulize kwa nini nikuambie......
No , mchawi hasa Ni CDM waliodhoofisha upinzani.Ukweli lazima usemwe,ujinga miongoni mwetu, ufukara,maradhi,elimu duni, lishe duni haya yote yameletwa na CCM ili kumtawala mtanzania mnyonge.Hata ije serikali awamu ya kumi chini ya CCM tusitegemee watatujali, mfano mh. Sana analalamika kila uchafu na eti amesahau kuwa uchafu wote na majipu anayotumbua mchawi aliesababisha ni CCM akiwemo yy mtumbuaji,ss hii kama sio comedi basi ni sinema.
CCM acheni kutufanya watanzania wote ni mbumbumbu mnatologa wenyewe halafu bila haya msingizia wapinzani,kazi yenu ni kulindana. Maana aliesababisha watumishi hewa yupo mnamuungopa,jangili namba moja nchi hii anapatikana CCM na mnamjua vema,muuza unga mkuu nchi hii ni kada wa CCM,fisadi namba moja ni kigogo wa CCM mnamsingizia lowasa,ipo cku mungu atachoka na unafiki wenu na atawatumbua hakika. Kila baya nchi hii waanzilishi ni nyie CCM halafu mnataka tuwaombee oneni aibu waambie watanzania ukweli kuwa nyie CCM ndo mmeifidi nchi iko juu ya mawe.
Na Jangili namba moja ni mtendaji mkuu wa Chama Cha Mafisi ,CCMMchawi wa TANZANIA ni wewe mwenyewe MLETA UZI......niulize kwa nini nikuambie......
Mchawi wa TANZANIA ni wewe mwenyewe MLETA UZI......niulize kwa nini nikuambie......