Watanzania kwa uvumilivu ni kiboko

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,034
1,003
Kama watanzania tumeweza kuvumilia taabu zote zinazoletwa na serikali ya ccm kama umeme wa mgao miaka yote,mfumuko wa bei, umaskini uliokithiri, dowans nk,bila kuchukua hatua za msingi kwa kigezo cha amani isiyo onekana,sisi ni kiboko kwa uvumilivu wa ujinga na tumevunja rekodi.
 
Hiyo ndo misingi ya nchi sasa unatushauri tuvunje msingi then iweje? Misingi ya maisha yetu ndo hiyo umaskini, kuibiwa, kunyonywa na kupenda kutumwa tumwa kama viumbwa hivi.... na kujipendekeza kwa watu (nchi tajiri) na kupeleka bakuri la omba omba kila mahali. Tusipoomba tutakufa njaa!!! mzee bado huelewi misingi ya nchi yetu??? Shangaaaa pekeee yakoooooo!!!
 
Kama watanzania tumeweza kuvumilia taabu zote zinazoletwa na serikali ya ccm kama umeme wa mgao miaka yote,mfumuko wa bei, umaskini uliokithiri, dowans nk,bila kuchukua hatua za msingi kwa kigezo cha amani isiyo onekana,sisi ni kiboko kwa uvumilivu wa ujinga na tumevunja rekodi.

Hasa ni ujinga, ubinafsi na uwoga!
 
Kama watanzania tumeweza kuvumilia taabu zote zinazoletwa na serikali ya ccm kama umeme wa mgao miaka yote,mfumuko wa bei, umaskini uliokithiri, dowans nk,bila kuchukua hatua za msingi kwa kigezo cha amani isiyo onekana,sisi ni kiboko kwa uvumilivu wa ujinga na tumevunja rekodi.

Viongozi wa CCM sasa wanatusihi tuzidi kuwavumilia ili waendelee na wizi wao wa mali za taifa, ufisadi na hujuma nyingine kubwa kwa wananchi -- tusifanye lolote au hata kulalamika kwani kufanya hivyo tunaweza kuingiza nchi kwenye machafuko.
 
Kama watanzania tumeweza kuvumilia taabu zote zinazoletwa na serikali ya ccm kama umeme wa mgao miaka yote,mfumuko wa bei, umaskini uliokithiri, dowans nk,bila kuchukua hatua za msingi kwa kigezo cha amani isiyo onekana,sisi ni kiboko kwa uvumilivu wa ujinga na tumevunja rekodi.
Siyo wajinga bali watanzania wana hekima!Na zaidi ya hapo ni umasikini ulio kithiri hivyo ndiyo maana hatuhitaji maandamano kama ya libya.
 
Kama watanzania tumeweza kuvumilia taabu zote zinazoletwa na serikali ya ccm kama umeme wa mgao miaka yote,mfumuko wa bei, umaskini uliokithiri, dowans nk,bila kuchukua hatua za msingi kwa kigezo cha amani isiyo onekana,sisi ni kiboko kwa uvumilivu wa ujinga na tumevunja rekodi.

:A S 13:Mimi nahisi tatizo si kuwa na uvumilivu ila hapa shida ni elimu yetu ndogo. Ukiangalia watanzania waliosoma ni asilimia ndogo sana ukilinganisha na ambao hawajasoma, Hata wale waliosoma wengi wanajifanya hawajasoma maana hawajipambunui kwenye jamii nzima kuwa elimu yao inawasaidia. Angalia kwa mfano Tanzania tuna wabunge wangapi? wamesoma? jibu ni kuwa ni wengi na wamesoma lakini angalia ni kwa jinsi gani wanazika maendeleo ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom