Kama hamna cha kuwarudisha na maisha yenu yanakwenda na mnapata rizki, basi nawashauri mjikalie huko huko. Huku bongo jamani jua kali, yaani ni Third world ya ukweli na sio utani. Maisha magumu. Giza ni totoro, maji ya mgawo, samaki wa mionzi, gas stations hazina mafuta, foleni za kufa mtu kwenye ATM na hadi barabarani, benki zinatunyanyasa na huduma za dharau, kampuni za simu ndio zinatunyonya damu kuliko. Mtadata tuachieni wenyewe