Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,524
Academic writing, logical writing, argumentation writing; is not about misspelling (grammar matters) but logic of the argument is foremost.Awawezi, ata, awatambui,
That’s not the essence of writing ability (it’s grammar) not the measure of presenting an argument as accepted academically.Wewe mwenyewe heading yako umeandika awawezi badala ya hawawezi.
Kuna makosa mengi sana ya uandishi kwenye uzi wako mkuu.
SIO ata ni hata >> ongeza h mbeleila ata
SIO uwezi ni huwezi >> ongeza h mbelenini uwezi
SIO awatambui ni hawatambui >> ongezea h mbelesio kwamba awatambui
SIO awawezi ni hawawezi >> ongezea h mbelewatu wengi awawezi kuandika
SIO hovyo ni ovyo >> ondoa h mbelemfano wa hovyo
SIO tuzo ni tunzo >> ongeza ntafuta tuzo
Awawezi ❎❎Moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya
zThat’s not the essence of writing ability (it’s grammar) not the measure of presenting an argument as accepted academically.
Nakuletea mfano wa hovyo kwa watu wanao tafuta tuzo kwenye jukwaa lao (nitakae mleta anune tu).
Mkuu wewe mwenyewe unaonekana ni mtupu kwenye medani za uandishi jifunze kwanza wewe ili uwe mwalimu na mkosoaji mzuri vinginevyo kaa kwa kutuliaMoja kwa moja kwenye hoja yangu
Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi.
Maana yake nini uwezi jiandikia tu upuuzi ambao uwezi uthibitisha nje ya uelewa wa dunia kuhusu hilo jambo (vinginevyo inabidi uandike paper iwe peer reviewed ili dunia iwe na uelewa mpya).
Shida ya wasomi wetu sio kwamba awatambui hizo kanuni za uandishi (not just academically, ila ata.kwenye magazeti) waandishi wetu hawana uwezo wa kufuata academic structure kwenye kujenga hoja, kuonyesha uelewa wao on the topic (that they have done research) na mwisho ni grammar (kwa Kiswahili hii ni shida ya kuweka H na A ni minor) that’s the job of the chief editor.
Ili lalamiko ni kutokana na kupitia jukwaa la stories of change’ mule ndani kwa sababu kuna academic assessment watu wengi awawezi kuandika, hawaoni sababu ya ku-research topic topic wanazoabdika. Waandishi wanadhani wapo entitled na opinion without academic justification; kwa kifupi ni kwamba ukisoma topic za mule the whole seems pathetic.
More than. 90% of the topic presented dont even meet even level 2 (writing skills). You can’t just things from on top of your head.
Hata wewe mwenyewe umefanya makosa katika uandikaji wako hapa rudia kusoma utagundua!Moja kwa moja kwenye hoja yangu

Uandishi wa hovyo usiofuata kanuni za uandishi unaweza kufanya hata ulichokiandika kikawa hakina maana kwa wasomaji,uandishi wa hovyo unaweza kufanya ukashusha thamani yako kwa kiasi fulani,That’s not the essence of writing ability (it’s grammar) not the measure of presenting an argument as accepted academically.
Nakuletea mfano wa hovyo kwa watu wanao tafuta tuzo kwenye jukwaa lao (nitakae mleta anune tu).
Hawezi kugundua hayo makosa coz ndio akili yake ilipoishia hapo kwenye huo uandishi wake.Hata wewe mwenyewe umefanya makosa katika uandikaji wako hapa rudia kusoma utagundua!
Mmefunga shule, sasa mtandaoni vurugu tupu.Moja kwa moja kwenye hoja yangu