EL na Mkewe wanagawa vibahasha.Hatuchagui rais mwizi na familia
Mtakumbuka hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amenukuliwa akisema kuwa chama hicho kina wafadhili watano ambao hatawataja hadharani kwa kuhofia vyombo vya dola kuwafuatilia. Binafsi nilishtushwa sana na kauli hii ya Mbowe na nilijawa na shauku ya kujua ni akina nani hao na kama wanasaidia chama kwa good faith, iweje wafuatiliwe na vyombo vya dola? Mbona Mustapha Sabodo amekuwa akikisaidia chama hicho hadharani na wala hajawahi kuguswa na vyombo hivyo?
Siogopi Fisadi wala nini. Fisadi ni fisadi tu mpaka kwenye damu.Loooo nimeshtuka tu hapo chini kwa kiongozi wa dini!!! ngoja wakufuate wenyewe utajuta kuweka picha yeke!
Tell the pathetic fisadi to stop lying. It pains when the truth hits your lungs.View attachment 290723pathetic kuweka picha kama hii, isome tena uone huo uandishi... Huyu hajitambui wewe ndio kabisaa
Baraka zinatoka kwa Mungu na sio Fisadi.Hiyo title haijanibariki sema wewe ndo humtaki huyo fisadi wako. Hebu weka bayana ufisadi wake unaweza ukanishawishi nimpe nusu kura yangu but ukibabahisha anapata yoteee.
Tell the pathetic fisadi to stop lying. It pains when the truth hits your lungs.
You are once again wrong. The dude who can't walk is a Fisadi. Nimekuwekea na picha uone jinsi anavyo gawa fedha za ufisadi.Mr.Chin taasisi fisadi inazaa mafisadi CCM fisadi unategemea Rais atakuwa msafi?Kwa taarifa yako hakuna MSAFI ndani ya CCM hilo wana CCM wote wanalijua mkuu
How many times?Umelisoma bango lakini?
How many times?
View attachment 290723pathetic kuweka picha kama hii, isome tena uone huo uandishi... Huyu hajitambui wewe ndio kabisaa
Umesha lishwa fedha za ufisadi na mdomo wako umefungwa.Mshana achana na huyu mtoto, mpuuze tu asikuhamishe kwenye lengo kuu...stick kwenye mambo yanayo matter!
Baraka zinatoka kwa Mungu na sio Fisadi.