Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

Kwa hiyo kuhogwa magari na watu uliowakamata pia ni mbinu du tz bado sana hata uletewe mtu kaiba utasema ni mbinu
 
Umeandika kwa umahiri wahali ya juu lakini kabla ya kuunga mkono hoja inaitaji kufikiri kwa kina inakuwaje mpiganaji aandae kipindi cha uwongo ili kumchafua hasimu wake? Kwanini akamwage machozi kanisani? Kwanini asionyeshe vyeti vyake kama kweli alivipata kihalali? Mi naomba tufunge mjadala kwasababu rais kashatoa tamko aina hajatena iwe kweli au sikweli mkuu kashasema tuchapekaziii kuendelea kujadili nisawa na kupoteza muda
 
Fumadilu Kalimanzila
Thank you for your crap. I hope you have utilized fully your little brain; not your testicles to bring this shit.
 
Rubbish
 
Toka lini Zero ikapata mbinu za kupambana na madawa ya kulevya???
 
Theories na hypothesis zako unaruhusiwa kuwa nazo.
Hata mtu mwingine anaweza kuja na zake.
Hazitupi kitu cha maana cha ziada.
Uzuri ni kwamba haujakanusha hayo aliyoyafanya huyo sweetheart wenu, ila unajaribu kutujengea uhalali wa yeye kufanya hivyo.
 
Mkuu Fumadilu, Kulingana na post yako ninaomba unieleweshe jambo moja hapa, '' Hivi mtu akifanya UHALIFU halafu akabadilisha jina na akaenda mahakamani akala kiapo cha kubadili hilo jina lake la awali. Hiyo imekaaje hapo?
 
Ndio mnajifungia ndani na Bashite kutengeneza pumba ya namna hii ili kuzima moto ulowashwa na upuuzi wa Bashite? Namshauri Bashite aache kutumia wajinga wenzie kuzima moto ambao akionyesha vyeti halali utajizima wenyewe.

Kama Mkulu bado anamuhitaji Bashite ktk kilinge chake basi amchongeshee vyeti halali ili huyu jamaa apunguze stress.

Tatizo hata akichongeshewa akili yake bado inafeli kwenye hesabu ndogo mno za kujumlisha na kutoa.

Wa-tz sakata la vyeti hakuna popote duniani limewahi kuzimwa na maneno ya kada fulani wa chama fulani au chair fulani No!!! Hili sakata dawa yake sio kulihusisha na dawa za kulevya (this is a very dummy hypothesis.


MAKONDA ONYESHA VYETI MOTO UTAZIMA WENYEWE.

GWAJIMA UNAMLILIA BUREEEE

HISTORIA NDIYO INAYOKUHUKUMU
 
Hizo ni theories na zinabaki kuwa theories.
Thousands of them.
Some will subscribe, others will not.
Prove it and you get more subscribers.
But, is there any need?
 
Reactions: bdo
Huyu jamaa hajajenga hoja yeyote ya maana ila amejua kuwashila watu msio reason yan mnaenda kulingana na mihemuko. Ndio maana mnaona kaongea la maana sanaa.

Anamueleza moja anamueleza makonda na kutaka kuwaaminisha msio reason au msiotumia 3D reasoning kama mtu wa mission flan as if hii tangu makonda anasoma alikuwa katika utawala wa Kikwete.

Kwahiyo tangu makonda anasoma akapangiwa apate zero, na ikapagwa atakuja Rais anaitwa magufuli atampa u RC alafu hapo mission ya madawa itaanza..ha ha ha poor u na hypothesis za kibashite izo

Mleta mada username yako yaonesha wewe ni msukuma, i dought wenda wewe ndio Bashite wenyewe.

Unasema watanzania hawana uwezo ws kufukiri hivi hii nchi inaendeshwa na wakenya? Yan watanzania wanaoamka na kujaa maofisini wakitumia taaluma zao ku move hii nchi mpk ilipo leo unasema hawana akili kulinganisha na Paul C. Makonda?

Then katika logic wewe pia ni mtanzania sivyo? Basi akili yako ni sawa na ya uliowaeleza, u master no difference. Foolish
 
blah blah hatutaki kusikia
 
Huu upuuzi mtupu, Agent wa mission za maana ndo hufanya kazi kizembe namna ile?

Kwenye Conspiracy theories unaweza kuwaza chochote unachokitaka na ukakiamini!

Kama Clouds wanadeal na unga ndo utawavamia kibwege namna ile Kwamba utaukuta Unga wameutandaza pale sakafuni? This is stupid.

Halafu pia watu wengi wanakubaliana kuwa approach ya Makonda ya kudeal na ishu ya unga right from the beginning ni very poor approach, Siamini kama master minds wa kupambana na Unga huko ktk vitengo vyao wanaweza kuexcute a poor operation kama ya makonda ya kuvamia huko.
Yaani agent asijue kwamba katika ofisi kubwa kama za Clouds kuna CCTV camera za kuwaexpose?, this is stupidity of the highest order.
Kama kweli Clouds wanadeal na unga the best way kiintelijensia ilikuwa ni kupandikiza Mole au informer from the inner circle, kiasi kwamba kama vyombo vya dola vinaamua sasa kudeal na hao Clouds wanadeal nao huku wakiwa na ushahidi wa kutosha na bila kuacha traces za kutuma wrong messages kwa drug dealers wengine!

Tatu, Watu wa vitengo vya Intelijensia ni watu ambao wako smart, huwezi kumuweka mtu ambaye anapata division Zero form four kama mtu wa kuongoza Operesheni yoyote, Kama walifanya hivyo basi ndiyo masna labda kila kitu kinafeli.

Kuhusu vyeti, kuna watu kibao wamedakwa kwa kuwa na vyeti feki, Makonda kutumia jina la mtu mwingine siyo cover kwamba eti ni kwa mission maalum, kiufupi ni kwamba na yeye ni kama hao wengine tu!. Pia huwezi kutumia jina la kisanii ukaendelea kufanya mission kama hizo kupitia cover ya kisiasa kwa sababu kwanza unatoa room ya kuwa blackmailed maana kuna watu ulisoma nao, ulicheza nao wanakufahamu kindakindaki, kwa hiyo identity yako inaweza kutumika against you katika sakata hili la Jina lake halisi!

The Last thing ni kwamba, Kama Kweli Makonda alikuwa kwenye mission Maalum ambayo imefail basi ili kucover hiyo operesheni isibumbuluke, au isitiliwe mashaka na umma na wale drug dealers Angetumbuliwa kisiasa ili ionekane ni makosa tu ya kisiasa na hakuna Mission yoyote behind the scene!. Hii ni point kubwa sana kwa sababu ona kitendo cha yeye kuachwa pale kumeshatuma meseji tayari ya kumdhania kuwa ni mtu wa usalama,Sasa kama wewe unadhani hivyo, unafikiri kwamba sasa Drug dealers nao hawadhanii hivyohivyo kama wewe?, Je katika hali hii unadhani akiendelea kufanya mission yake Dar atafanikiwa?

Ndiyo maana mimi naona wewe ulichokileta ni conspiracy theory, ni dhana , ndiyo maana wewe mwenyewe umeita Hypothesis, cha ajabu baada ya kuziita Hypothesis umekuja baadae kuziamini kuwa ni facts.

Nashawishika kwamba kitendo cha Makonda kuvamia clouds ni yeye mwenyewe na ego yake
 
Mkuu popote ulipo agiza mtoli nakuja kulipa mkuu.

Kumbe Jf bado tuna hazina ya vichwa /vipanga!!! aisee, hasa hapo kwa waandishi wetu wa habari.

Mtz hata ukimjengea nyumba na ukaweka kila kitu atasema mbona hilo bomba halitoi vizuri maji, yaani hatujui tunataka nini!!!!
 
Mh propaganda
Hakuna mission yoyote zaidi ya kudhoofisha wapinzani wa magufuli
Uchambuzi wako unaonesha jinsi makonda alivo mtu mwenye wivu na tamaa ya kupata vitu kwa pupa bila kutumia akili
Kuhusu ku accomplish mission anaonekana hawezi kuandaa strategies yaan he is not smart ndo mana hata kipande kidogo cha kumrekodi yule dada kachemka
Pila inaonekana makonda ni mtu wa kujipendekeza sana baada ya utawala wa kina ridhowani kuisha sasa ameamua kujipendekeza magufuli
Inaonekana makonda anakurupuka ndo mana kawataja watuhumiwa wa madawa ya kulevya ambao hakuna hata mmoja alie thibitika kufanya biashara hizo yaani makonda ana tabia ya usingiziaji
Mwigulu mchemba hawezi kuwataja watu bila ushahidi inaonesha hakurupuki
Magufuli kumtumia makonda amefeli ki strategic kwaio tegemea makonda na Magufuli kufitiniwa ndani kwa ndani
Uchambuzi wako wote unaonesha makonda ni mtu wa mihemko visas yaani mjinga sio mwerevu kama nape au january au nchemba
Hakuna vita ya madawa ya kulevya isipokua ni visasi na kupola mali za watu
Anaejinasibu kupigana vita ya madawa anatumia magar ya watuhumiwa
Anamiliki apaartment viva tower
Ana mnunulia mpenzi wake gar ya milion mia 6
Anamiliki nyumba nchini afrika ya kusini
Amekaa kwenye uongozi miaka mi2 anamiliki mali zinazozua utata
Anatuhumiwa kufoji elimu akiulizwa analia
Yaan mtoa post nenda kajipange tena uje kwa mara nyingine
 
Kaka tukiwa na waandishi wa Habari au gazeti wenye kuchambua mambo kwa kina na ustadi kiasi hicho naamini tasnia ya Habari itakua kubwa na kuheshimika,,, na Hata wapinzani wangekua Hata na watu watatu kama wew wangeweza kuweka hoja na kuonekana wanaakili ila kwa Sasa wanaishi kwa matukio naweza sema pumzi zimekata aliye waloga kafa hadi Zito hajielewiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…