Watanzania amkeni!

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Tabia ya aliyekuwa waziri mkuu Ndugu El si nzuri kwa muktaba ya baadae hapa nchini mwetu. Sasa hivi amekuja na njia ya kukosoa serikali ili hali na yeye yuko katika chama kinachotawala. Mfano wake ni hapo aliposema mfumo wa elimu ubadilishwe. Swali ni je alipokuwa waziri hakuona hilo? 1.Je ccm hawashauriani katika vikao vyao ilhali wanasema wanatekeleza sera zao?
2.Kwa nini mipango aliyonayo kwa ajili ya maendeleo asiwaambie wenzake ili kuleta maendeleo badala ya kuizungumzia kimafumbo?(UBINAFSI)
3. Tabia ya kuchangia mamilioni kila aendako ni misaada kweli au ndiyo rushwa yenyewe kwa mlango wa uani? Hapa tujiulize amepata wapi hizo fedha,amezipataje,atazirudishaje?(UROHO WA MADARAKA)
4.Nini hatma ya makundi yao,faida na hasara kwa wananchi.

Kwa mtazamo wangu El anasura mbili yaani anaonyesha tabasamu/huruma ilihali moyoni anaroho ya ukatili.
 
Mbona Sitta,philipe Njombe wanaikosoa serikali hamsemi?????why EL??
 
Lakini ni mchapakazi tofauti na alaye lakin hachapi kazi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

kama angekuwa ni mchapakazi mzuri asingeweza kuongozwa na hisia za nje na ubinafsi wakujimilikisha vitu/rasilimali za watanzania yeye mwenyewe. Akiweka ubinafsi na kutaka kujionyesha ni kiongozi mzuri.
 
masai
Sitta na phily ni tofauti maana wao hawana nguvu kivile. Waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali nafasi ambayo el alikuwa nayo. jet mbona hakufanya au hakuagiza hayo anayoyazungumza mda huu?mawaziri wote walikuwa chini yake
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…