Watanzania Amkeni kumekucha

Watanzania Amkeni kumekucha

canular

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
1,068
Reaction score
1,268
Watanzania wenzangu, tarehe 29 Oktoba 2025 ni siku muhimu sana kwa nchi yetu. Tumekuwa tukililia haki zetu kwa muda mrefu, lakini viongozi wameendelea kutunyima na kupora utajiri wa taifa letu.

Sasa, ni muda wetu kuonyesha dunia nzima kwamba tumechoka kudhulumiwa na kutawaliwa bila haki. Tuungane wote kwa amani katika maandamano ya kitaifa ili kutoa sauti yetu na kuleta mabadiliko tunayoyataka—tutapinga uchaguzi usio wa haki, tutadai katiba mpya, na kupinga ugumu wa maisha.

Tuendelee kutoa elimu mitaani kuhusu umuhimu wa maandamano ya amani. Wananchi ndiyo waamuzi wa nani anatakiwa kutuongoza, siyo viongozi kupangiana madaraka kwa lazima.

Lete familia yako, washikaji na wale wote wanaotaka mabadiliko. Hakikisha upo, kwani ukikosa utakuwa umekubali nchi kuwa mikononi mwa wachache.

Maandamano yataanza asubuhi saa moja nchi nzima. Hakikisha umejiandaa—chakula na maji vitapatikana huko huko.

Tutashika mabango ya ‘No Reform, No Elections’. Mungu atujaze ujasiri na kutulinda. Kila mmoja achukue jukumu, jitokeze bila woga.

Tanzania ni yetu sote. Tarehe 29/10/2025, tukutane mitaani kuhakikisha sauti yetu inasikika!”
Siku hii ni ya ukombozi na mabadiliko.

Ushiriki wako ni muhimu sana. Tusikubali kuachiwa nchi mikononi mwa wachache, tujitokeze kwenye maandamano ya amani.
 
Watanzania wenzangu, tarehe 29 Oktoba 2025 ni siku muhimu sana kwa nchi yetu. Tumekuwa tukililia haki zetu kwa muda mrefu, lakini viongozi wameendelea kutunyima na kupora utajiri wa taifa letu. Sasa, ni muda wetu kuonyesha dunia nzima kwamba tumechoka kudhulumiwa na kutawaliwa bila haki. Tuungane wote kwa amani katika maandamano ya kitaifa ili kutoa sauti yetu na kuleta mabadiliko tunayoyataka—tutapinga uchaguzi usio wa haki, tutadai katiba mpya, na kupinga ugumu wa maisha.
Tuendelee kutoa elimu mitaani kuhusu umuhimu wa maandamano ya amani. Wananchi ndiyo waamuzi wa nani anatakiwa kutuongoza, siyo viongozi kupangiana madaraka kwa lazima. Lete familia yako, washikaji na wale wote wanaotaka mabadiliko. Hakikisha upo, kwani ukikosa utakuwa umekubali nchi kuwa mikononi mwa wachache.
Maandamano yataanza asubuhi saa moja nchi nzima. Hakikisha umejiandaa—chakula na maji vitapatikana huko huko. Tutashika mabango ya ‘No Reform, No Elections’. Mungu atujaze ujasiri na kutulinda. Kila mmoja achukue jukumu, jitokeze bila woga.
Tanzania ni yetu sote. Tarehe 29/10/2025, tukutane mitaani kuhakikisha sauti yetu inasikika!”
Siku hii ni ya ukombozi na mabadiliko. Ushiriki wako ni muhimu sana. Tusikubali kuachiwa nchi mikononi mwa wachache, tujitokeze kwenye maandamano ya amani.

Tuko chini ya mnazi mahakamani hapa tunasubiria kuna dodo limewiva linaweza kudondoka.
 
Back
Top Bottom