Watanzania 30 wakamatwa huko Italy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania 30 wakamatwa huko Italy

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tiba, May 24, 2012.

 1. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Habari nilizozipata sasa hivi zinasema kwamba Watanzania karibu 30 wamekatwa huko Italy kwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya. Kinara wa mtandao huo ametwajwa kuwa ni Zuhura Kirro. Huyu mama hii si mara yake ya kwanza kukamatwa kuhusiana na madawa ya kulevya.

  Naona sasa Tanzania imeanza kuchukua sura ya Nigeria na Watanzania tutakuwa hatuaminiwi tena popote tunapopita.

  Kwa wale wanao jua kiitaliano, habari yenyewe hiyo hapo chini. Mtu asije kuniuliza source ya habari ni nini.


  22 mag 12

  Roma: sgominato il clan dei tanzaniani. Comunicavano in swahili per gestire un traffico di droga dal Brasile

  Un'organizzazione di narcotrafficanti transnazionale è stata sgominata dai finanzieri del Comando Provinciale di Roma, che hanno eseguito quindici ordinanze di custodia cautelare in carcere - emesse dal Giudice delle Indagini Preliminari del Tribunale di Roma Simonetta D'Alessandro, su richiesta del Procuratore Aggiunto della Repubblica, Leonardo Frisani - nei confronti di cittadini tanzaniani residenti nelle province di Roma, Napoli, Latina e Caserta.

  L'operazione - ribattezzata dagli investigatori «Venus» dal nome del sito internet grazie al quale venivano prenotati gli alberghi per il soggiorno dei componenti della banda - costituisce il frutto delle indagini, coordinate dalla Direzione Distrettuale Antimafia di Roma e condotte dal Gruppo di Fiumicino, che hanno preso avvio a seguito dell'arresto, presso lo scalo aeroportuale Leonardo da Vinci, di un corriere «ovulatore» tanzaniano proveniente dal Brasile, che aveva ingerito oltre un chilo di cocaina in capsule.

  Attraverso gli SMS e le telefonate ricevute da quest'ultimo sul suo cellulare, è stato possibile individuare gli altri componenti della banda di narcotrafficanti, tutti di nazionalità tanzaniana. Un valido ausilio è giunto anche dall'incrocio dei dati inerenti alla prenotazione del biglietto con le informazioni relative ai passeggeri in arrivo in Italia, che hanno messo in evidenza la regia una donna - De Santana Maria Marilena - che dal Brasile gestiva l'invio a pioggia di numerosi corrieri ovulatori.


  A Roma e a Napoli operavano rispettivamente Kirro Zura e Hassan Kaburuma, capi dell'organizzazione, la cui struttura annoverava gregari specializzati nelle varie funzioni, dalla lavorazione al taglio dello stupefacente, dal trasporto alla commercializzazione ed allo spaccio. Tutti gli indagati comunicavano tra loro nell'idioma «Swahili» - di difficilissima comprensione - nonché utilizzavano prudenzialmente schede telefoniche intestate a persone di fantasia ed i canali dei «money transfer», per regolare finanziariamente le compravendite delle partite di droga ed il trasferimento all'estero dei proventi illeciti.

  Spesso, per esser certi del buon esito dei loro traffici, interpellavano preventivamente gli stregoni di un villaggio tanzaniano e chiedevano riti sacrificali per propiziarne l'esito. Oltre a curare l'arrivo della cocaina dal Brasile, Kirro Zura e Hassan Kaburuma, si occupavano anche degli approvvigionamenti di eroina, che aveva luogo nelle province di Napoli e Caserta, grazie a contatti diretti con connazionali fornitori in Turchia e Grecia.

  In un caso, certamente singolare, a finire in manette sono stati due collaboratori di Kirro Zura, bloccati all'aeroporto di Fiumicino mentre tentavano di far uscire un carico di eroina diretto in Canada. Grazie al coordinamento della Direzione Centrale Servizi Antidroga del Ministero dell'Interno ed alla collaborazione delle polizie estere, alcuni corrieri, partiti dal Brasile e diretti in Italia, sono stati tratti in arresto anche presso gli aeroporti di Lisbona, Madrid, Barcellona, Monaco, Copenaghen e Lione.


  Il bilancio finale è il sequestro di oltre cinquanta chili di droghe «pesanti» - tra cocaina ed eroina - che avrebbero potuto fruttare al sodalizio transnazionale circa venti milioni di euro, oltre ai provvedimenti restrittivi eseguiti in data odierna nei confronti dei quindici appartenenti al sodalizio, che riforniva le piazze di Roma, Napoli, Caserta e Latina.

  A Giugliano in Campania, in una delle basi logistiche utilizzate dai tanzaniani, sono stati trovati, nascosti all'interno di un camino, quasi dieci chilogrammi di eroina e cocaina, già pronti per la distribuzione.

  Inoltre, nel corso delle intercettazioni telefoniche, è stato possibile individuare l'arrivo in Italia di trentanove corrieri, che sono stati arrestati in flagranza di reato al momento del loro arrivo in Italia
   
 2. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Jamani watu wengine sijui vp huyo mwanamke haogopi?
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  acha nimtafute mack mush wa italy ..
   
 4. k

  kbhoke Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Inasikitisha. Lakini kamwe hali hiyo haiwezi kukoma, hadi pale ambapo hali ya uchumi wa Tanzania itakapotengamaa. Ingawa si kweli kwamba katika nchi tajiri hakuna uhalifu, lakini kadiri hali ya uchumi inavyokuwa mbaya, kishawishi kikubwa ni watu kujihusisha na 'short cut' katika ku-survive. Hali ikiwa mbaya sana, watu wanakuwa sugu, hata uoga hakuna. Huwezi kuamini nchi kama China, ukikamatwa unanyongwa, lakini huenda hata huko wauza unga wa kitanzania wanafika.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tunaomba link ya hiyo habari tupate kui translate kwa google
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Kikwete angempa huyu mama Ukuu wa wilaya au kiti maalum bungeni ili atulie daah! huyu mama anatisha kama ni utafutaji lakini lazima atakuwa na back up
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hao wauliwe tu.

  Ni watu wanaopoteza maisha ya vijana kwa maelfu kwa hii biashara yao haramu.
   
 8. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  wanawake wakiwezeshwa WANAWEZA......HAKI SAWA KWA WOTE,,,,,,
   
 10. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Nashangaa hata wale wanaokamatwa hapa baadae wanaachiwa sijui kwa sababu zipi? ukiangalia jinsi vijana wanavokufa kwa madawa ya kulevya inasikiths asana! nadhani itungwe sharia kwenye katiba kuwa mtu akikutwa na dawa za kulevya basi kama hawataki kunyonga ni kifungo cha maisha! hii itakuwa fundisho ! HALI INATISHA ! ni mesoma makala moja katika gazeti la mwananchi jinsi watu wanavouza unga nje nje maeneo ya Kinondoni na serikali za mitaa zipo inasikitsha sana !
   
 11. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Tatizo langu ni credibility ya Watanzania katika nchi za Ulaya. Hii inanikumbusha nilivyopekuliwa kama mwarifu pale Schiphol, Amsterdam some 2 years back. Nilipekuliwa kama mwizi fulani hivi. Sasa katika mazingira haya, ninaweza kuelewa ni kwa nini walifanya hivyo!!!

  Pamoja na hali ngumu ya uchumi hapa kwetu, si vizuri kwenda kwenye nchi za watu na kuanza kufanya biashara haramu.!!!

  Tiba
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kwakweli huku kinondon ndo imeshindikana kabisaaaa,,,,,,,,
   
 13. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mkuu na mimi nilisoma hiyo article nilitaka kutokwa na machozi. Tatizo Polisi nao ni wadau katika hii biashara haramu. Wana mgao hivyo wala hawaangaiki na dealers kabisa!!! Jiulize tangia Kikwete apewe orodha ya wauza unga wakubwa amefanya nini mpaka sasa? Sasa tutegemee polisi wafanye nini?

  Tiba
   
 14. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
 15. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Hebu google "Operazione Venus" utaipata hiyo habari. Bahati mbaya sijui jinsi ya kuweka link!!!

  Tiba
   
 16. luck

  luck JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 768
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  Drug ni biashara ya pesa mingi na imeweza kuvuta watu wengi sana wakiwemo walinda usalama ambao nao ni washiriki pia! Wiki 2-3 zilizopita kuna mdada alidakwa pale DSM Eapoti akitokea bondeni, kabla ya hapo alipita pakistani, swali langu ni je hawa watu wanawezaje kuepa vikwazo vyote hivyo hadi wanakuja kunaswa huku kwetu?
   
 17. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,099
  Likes Received: 1,199
  Trophy Points: 280
  Nimekubali, kweli JF ni kiboko ya elimu. Radio zote za bongo nimesikiliza mpaka hivi sasa bado sijapata habari zozote kuhusiana na hizi habari za kukamatwa wenzetu watafutaji huko majuu. Cha kushangaza media za bongo wako makini kuandika/kusema habari za Lil Wayne ama msanii yeyote wa kimarekani ambaye hatuhusu katika jamii yetu. Nasema hawatuhusu kwa sababu wao si wenzetu japo tunafanana kwa rangi ila haya ya wenzetu waliokamatwa huko Italy yanatuhusu kwani pengine tuna ndugu zetu humo ama hata majirani. Jamani media za bongo mnatia kichefuchefu, why are you useless?
   
 18. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mkuu mtandao wa wauza madawa ya kulevya ni mkubwa kupita kiasi. Unakuta huko wanakopita tayari njia zinakuwa zimeisha nyooshwa. Wakifika hapa kwetu, inawezekana kutokana na ndege kuchelewa kufika au sababu nyingine, wanakuta maafisa walio kwenye payroll hawapo kazini hivyo wanaishia kushikwa!!!

  Tiba
   
 19. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,724
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Watanzania hawaaniki kabisa!! Iwe kiongozi au hata raia wa kawaida. Raisi mstaafu A. H Mwinyi aliwahi kueleza mkasa wa kupekuliwa kama kibaka. Takribani kila mtu anayekwenda S. Africa, hususani kijana anakwenda kuuza unga. Muda si mrefu Tanzania itakuwa kama Mexico n.k
   
 20. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Italy..jpg
  Hii picha niliichukua mara baada ya kikao cha uchaguzi na ufunguzi wa tawi la jumuiya ya Watanzania Italy siku ya jumamosi tarehe 4/7/2009 ROME. kutoka kushoto, Ndugu ANDREW MHELA (KATIBU) MH.BALOZI KARUME, BI ZUHURA A.KIRRO (MWENYEKITI),MAMA BALOZI NA NDUGU AWADH AMBAE ALICHAGULIWA LUWA MUWEKA HAZINA
   
Loading...