Kwa sasa ndo naamini kuwa picha za mitandaoni sio kabisa hata kwenye tv napo wanadanganya,ukweli haikuwa hivi na nilikuwepo eneo hilo kumsikiliza Magufulu.Huu utaalam wa kuongeza watu katika eneo sijui inafanyika vip ningependa nijifunze pia.
Hebu nipe hint moja ya editing hapo.
el anaweza??
Hiyo kwani ni push up?
mimi nimeuliza 'el anaweza'? sijasema push up.
Iangalie vizuri hii picha,halafu uje tena.
Hebu nipe hint moja ya editing hapo.
Lbda iwe ni Mafinga,lakini si Rujewa-Mbarali maana hiyo mandhari haipo hivyo
Hii si Mbarali-Rujewa ya pale uwanja wa barafu alipofanyia mkutano.NIMEKATAA KABISA
Kwa sasa ndo naamini kuwa picha za mitandaoni sio kabisa hata kwenye tv napo wanadanganya,ukweli haikuwa hivi na nilikuwepo eneo hilo kumsikiliza Magufulu.Huu utaalam wa kuongeza watu katika eneo sijui inafanyika vip ningependa nijifunze pia.
Push up veeepe
Lowasa anaweza kuwa raisiii ndio. Maguful atakuwa mlinzi.
Hata mie mwenye elimu ya KATA naona hapo kuna editing ya kutosha kabisa.Pole mwaka huu naona simu zote hampokei,basi SMS inakuja,mmetupa number subirini tutawapigia soon
Hiyo kwani ni push up?
Mbumbumbu lofa pumbavu
kwahiyo hao watu wameongezwa kwa utaalamu au?
labda amejichanganya kutoa taarifa. kingine siku hazifananiSio kuongezwa,bali picha siyo ya Mbarali,labda kama ni Mafinga kwasababu mandhari sio ya Mbarali ile labda mtoa taarifa kajichanganya kaweka ya Mafinga maana alifanya mkutano jana pia.
Iangalie vizuri hii picha,halafu uje tena.
Sio kuongezwa,bali picha siyo ya Mbarali,labda kama ni Mafinga kwasababu mandhari sio ya Mbarali ile labda mtoa taarifa kajichanganya kaweka ya Mafinga maana alifanya mkutano jana pia.
blah blah blah....toa hints za editing hapo ziko wapi???