Wataniwavyo wamasai

maphie

Senior Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
174
Reaction score
47
Eti wamasi watu walipata scholarship ya kwenda kusoma Nethaland. Wakiwa kwenye degewawili kati yao walianza kucheza mpira. Yule wa tatu akawambia eneo humu ndani halitoshi ngoja niwarishie nje.

Baada ya muda rubani akaona yupo mmoja tu na kumuuiza wenzako wako wapi? Mmasai akajibu: Wako huko nje wanacheza!:yell::yell:
 

Jua likizama watarudi tu, 😀
 

Tehe tehe tehe, mi nimecheka jinsi ulivyo kosea tu kuandika..mwandiko mbayaa
 
Searching...100%
Loading...0%
Network Failed !

Near by Makunguru International School Mbeya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…