K A B U R U
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 922
- 1,257
Jana nilikuwa natazama taarifa ya habari saa moja usiku kupitia kituo cha luninga cha Channel Ten, nilipata ukakasi baada ya kumsikiliza mtangazaji wa habari za kimataifa akipata taabu kutamka mji wa Munich, hili alilitaja kimakosa kama mara nne mpaka nikajiuliza ina maana hajawahi hata kulisikia neno hili kabla, ili ajisahihishe?
Leo ninasikiliza Radio Free Africa kipindi cha Watanzania Tuzungumze magazeti, mtangazaji ameanza na gazeti la Nipashe anatamka chama cha wanasheria Tanganyika kama TLC badala ya TLS. Amerudia tena kutamka TLC akipitia gazeti la Mtanzania.
MY TAKE:
Huwezi kujua kutamka maneno yote hasa yale ya lugha za kigeni kama kijerumani na kifaransa, lakini kama mtangazaji ni vizuri ukajiridhisha kama sehemu ya maandalizi ya kipindi jinsi ya kutamka maneno yaliyopo kwenye kipindi chako.
Tuweze kuwa mazoea ya kuwa na uwanja mpana wa ufahamu wa mambo yanayotuzunguka katika taaluma zetu, mfano mtangazaji wa taarifa za habari ni vema akawa mfuatiliaji wa habari mbalimbali zinazotangazwa na vyombo vingine hasa vya kimataifa badala ya kujikita kuchonga sauti peke yake. The content is what matters the most.
kuna mmoja wa EAtv anaongea kiswahili af anasema" okey"Jana nilikuwa natazama taarifa ya habari saa moja usiku kupitia kituo cha luninga cha Channel Ten, nilipata ukakasi baada ya kumsikiliza mtangazaji wa habari za kimataifa akipata taabu kutamka mji wa Munich, hili alilitaja kimakosa kama mara nne mpaka nikajiuliza ina maana hajawahi hata kulisikia neno hili kabla, ili ajisahihishe?
Leo ninasikiliza Radio Free Africa kipindi cha Watanzania Tuzungumze magazeti, mtangazaji ameanza na gazeti la Nipashe anatamka chama cha wanasheria Tanganyika kama TLC badala ya TLS. Amerudia tena kutamka TLC akipitia gazeti la Mtanzania.
MY TAKE:
Huwezi kujua kutamka maneno yote hasa yale ya lugha za kigeni kama kijerumani na kifaransa, lakini kama mtangazaji ni vizuri ukajiridhisha kama sehemu ya maandalizi ya kipindi jinsi ya kutamka maneno yaliyopo kwenye kipindi chako.
Tuweze kuwa mazoea ya kuwa na uwanja mpana wa ufahamu wa mambo yanayotuzunguka katika taaluma zetu, mfano mtangazaji wa taarifa za habari ni vema akawa mfuatiliaji wa habari mbalimbali zinazotangazwa na vyombo vingine hasa vya kimataifa badala ya kujikita kuchonga sauti peke yake. The content is what matters the most.
Nami nimeskia hilo la TLC badala ya TLSJana nilikuwa natazama taarifa ya habari saa moja usiku kupitia kituo cha luninga cha Channel Ten, nilipata ukakasi baada ya kumsikiliza mtangazaji wa habari za kimataifa akipata taabu kutamka mji wa Munich, hili alilitaja kimakosa kama mara nne mpaka nikajiuliza ina maana hajawahi hata kulisikia neno hili kabla, ili ajisahihishe?
Leo ninasikiliza Radio Free Africa kipindi cha Watanzania Tuzungumze magazeti, mtangazaji ameanza na gazeti la Nipashe anatamka chama cha wanasheria Tanganyika kama TLC badala ya TLS. Amerudia tena kutamka TLC akipitia gazeti la Mtanzania.
MY TAKE:
Huwezi kujua kutamka maneno yote hasa yale ya lugha za kigeni kama kijerumani na kifaransa, lakini kama mtangazaji ni vizuri ukajiridhisha kama sehemu ya maandalizi ya kipindi jinsi ya kutamka maneno yaliyopo kwenye kipindi chako.
Tuweze kuwa mazoea ya kuwa na uwanja mpana wa ufahamu wa mambo yanayotuzunguka katika taaluma zetu, mfano mtangazaji wa taarifa za habari ni vema akawa mfuatiliaji wa habari mbalimbali zinazotangazwa na vyombo vingine hasa vya kimataifa badala ya kujikita kuchonga sauti peke yake. The content is what matters the most.
Wachambuzi wengi wame muiga Dr Liki ila hawajui jamaa ana exposure sasa wao ili waonekane wabobezi basi utakuta wana chomeka na english matokeo yake ni kituko. Ata sijui ni redio gani ila mara nyingi nasikiaga nikiwa saloon nanyoa, hao wa EATV wanakuaga watatu aisee huwaga ni aibu. Wachambuzi tumieni kiswahili mwanzo mwisho, mnazingua sana.East Africa napo kuna mtangazaji anapenda kurudia maneno 'STILL BADO' hasa kipindi cha michezo. Sijui hajui matumizi ya haya maneno??
Sent using Jamii Forums mobile app