Technologiest
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,727
- 4,060
Umri wake na anachobwabwaja aibu tupu!Huwa namshangaa sana kiporomoko anavojitahidi kufafanua mambo asiyoyajua ili kumfurahisha sizonje.hilo jahazi linapoteza wasikilizaji.
The time will tell! Nawadiss sana mbwa hawaMwanzoni mitaani wengi walifurahia wapiga dili kutumbuliwa. Na sasa wameshajua kuna walakini kwenye suala hili la kuwapunja maslahi watumishi. Maana zile ajira binafsi za ufundi,ushonaji,uashi,biashara,ujasiriamali,n.k sasa hazipo tena baada ya watumishi kupunguza matumizi ya lazima na ziada.
Bahati mbaya Mkulu anadhani bado ni kiki kwa wasio watumishi kuwabana watumishi ambao yeye anaona ni kama tabaka nyonyaji. Wamebaki wachache wasioelewa kama hao watangazaji.
Asante mkuuUjumbe mzuri
Sure! Ndomana hawaruhusu msg zozote kama wenzao wengine wanajua watayaogaWe ulikuwa ujui wapiga dili wazuri hao,tena naomba hicho kipindi kingekuwa na maswali tuwaulize,wananajifanya wanajua sana mambo kumbe seti tupu tu hao jamaa
Kila jambo lina mwisho wakeTatizo akina Jerry Muro na Pascal Mayala wapo wengi wanaishi kutegemea post za kuteuliwa kwa kujipendekeza kwa Makonda.
Baada ya Zirro kupanda cheo kwa kumkingia kifua Makonda kwenye kwenye kampeni yake ya kula rushwa kwa kusingizia watu madawa ya kulevya kila mtu anafikiri kwamba Makonda ni daraja ili uteuliwe na rais