Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya wanaongoza kipindi cha Maskani 47, Billy Miya na Mbaruk Mwalimu wakiwa kwenye kipindi wametoa madai ya kupokea vitisho kutoka Tanzania wakieleza sababu ni kuongelea matukio ya Tanzania.
Awali kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Tanzania na hata baada ya uchaguzi wamekuwa wakikosoa na kujadili hali ya uongozi na vyombo vya habari vya Tanzania namna vinavyofanya kazi hasa wakieleza wananchi wa Tanzania kutokuwa na imani na uongozi na ushindi wauchaguzi 2025
Soma pia:

- Mtangazaji Redio 47: Kule Tanzania hata watoto wamemkataa Rais Samia na uongozi wake
- GE2025 - Watangazaji radio47 Kenya: Watanzania mkienda kuandamana mkumbuke Polisi wenu hawana huruma kama Kenya, Muacheni Samia amalize muda wake
- PostGE2025 - Mbaruk Mwalimu: Rais Samia anaongoza Tanzania kama chama cha akina mama
- Radio 47 ndiyo Radio Namba 1 hapa Tanzania kwa sasa