barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,874
Watangazaji wa kipindi cha #Clouds360 wameitikia wito wa Rais JPM na mkewe wa kuwaomba na wao siku moja waje studio na wenza wao.
Ombi hilo alilitoa Rais siku alipopiga simu moja kwa moja kwenye kipindi,na kuwaambia kuwa yeye ni mtazamaji wa kipindi cha Clouds360 pamoja na mke wake,na angependa siku aone wao nao wakiwa studio na wenza wao
Wameitikia kwa kuleta wake zao na Baby kuleta mume wake...Hii ni timizo la ombi la Rais kwa watangazaji wa kipindi hicho