Watangazaji mnasomea wapi na nini?

nelly nely

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
665
229
Kuna baadhi ya watangazaji wanakera sana,hivi hata hili dogo linahitaji kushikiwa bakora?utakuta mtangazaji badala ya kusema wimbo anatamka 'nyimbo'! kwa mfano,"nyimbo hii aliitunga mwaka 1987!".Namshangaa sana anayejiita diva wa radio ya watu,habadiliki kwa hili!pia yuko Alex Lwambano,michael Baruti,dj faty..........mnaboa jamani.
 
Huu umbumbumbu wa lugha umejaa kwenye vituo vyingi vya redio na tv. Inaelekea hawafundishwi misingi ya matamshi ya lugha muhimu duniani.Nilimsikia mtangazaji mmoja akitamka neno ' cognac' kama'koknak'. Mtangazaji aliyesomeshwa vizuri atatambua kwamba neno hilo ni la kifaransa na lina matamshi yake, yaani 'konyak'.
 
Presenters mara nyingi huwa hawajaenda shule.....waliosoma journalism wao huwa kwenye vitengo vya ndani vya kitaalam hasa magazetini...lakini redioni hata houseboy kama ni mjanja anashika mic ni kama bongoflava tu!
 
Swala la lugha naona inategemea na kipindi anachofanya mtangazaji, mf vipindi vya burudani mara nyingi wanatumia maneno ya mitaani kuvutia wasikilizaji?! Ingekuwa tatizo sana ka kipindi ni cha habari au documentary! Asilimia kubwa kwa mtindo huo Watanzania hatukijui Kiswahili vizuri tukianza kufata habari za matamshi
 
mara kwa mara huwa lugha yetu adhim inatumika vibaya,kwa waliomstar wa mbele kuchangia hilo ni wahusika wa vyombo vya habari yaani watangazaji na si wao tu hata sisi wananchi bado hatuna utumizi mzur wa lugha hii,kwa mfano kurudi nyuma kwa gar wanaita kupiga CHANYORO,ijapokua sio rasmi kwa sehem husika,nakuichanganya lugha na baadhi ya maneno ya kiingeraza yaan KISWANGLISH,Bado tunahitajika kuitetea lugha hii
 
tuipige msasa!
 
Back
Top Bottom