inawezekana ikawa, kweli, hebu nisaidie na hili, watangazaji wengi wa radio/tv huwa kutaja decimal points ni shida, mfano. uchumi umepanda kwa asilimia 7.15,wao wanatamka asilimia 7 nukta 15!!!!!(badala ya 7 nukta moja tano) tena ni kutoka vituo vikubwa kabisa!! hii si hesabu za std 5,jinsi ya kutamka decimal point, hata bungeni kuna waziri/wabunge huwa wanatamka sana.