Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,001
- 3,051
humu ni great thinker bro! fikiria tatizo la huyo anayekosea matamshi na msomi mzuri tu anayepindisha sheria za mikataba aua kuuza roho za watu kwa tamaa ya fedha.,si bora huyo hata akitamka zaman badala ya samani
Kila mtu mkuu ahukumiwe kwa issue yake!anayekosea lugha asemwe kivyake na anayepindisha sheria asemwe kivyake.naunga mkono,hoja kuwa kuna watu wanaoharibu sana lugha.nyakati zingine mpaka unapata tabu kuelewa anachosema au kuandika.