Watangaza nia wa CCM wamejisahau kama wao ni watawala

...Dr. Slaa pekeee atosha, magamba na mafisadi hatuyapimi kwa kuongea, tunayapima kwa sera wanazoziamini amabazo kila kukicha zinatuongezea umasikini....yote ni wale wale...

Babu kila awamu slaa tu,huko hakuna rai wengine wagombee pia,utakuwa unkurunziza sasa
 
Hapa kuna nukuu ziambatane na mtazamo wa Edo Kumwembe:

1. A politician needs the ability to foretell what is going to happen tomorrow, next week, next month, and next year.

And to have the ability afterwards to explain why it didn't happen - Winston Churchill

2.
Since a politician never believes what he says, he is quite surprised to be taken at his word - Charles De Gaulle
 
I thought so too, na unashangaa hawa hawa wengine ni mawaziri waliopo serikalini !! Actually, uzuri wana prove kuwa jamaa na serikali yao, na kyama kyao ni wachovu aka MIZIGO !!!
......Hotuba za Watangaza nia wa CCM zimejaa malalamiko ya kila siku ya Wabunge wa upinzani ambayo Watangaza nia wamekuwa wakiyakejeli bungeni.
 
Kwi kwi eti wameanza safari ya uhakika kama Dr Slaa alivyosema wanajifanya si sehemu ya CCM wala serikali yao wengine wamewahi kushika nyadhifa kubwa na wamekuwa kwenye mipango hata kuandaa ilani leo wanaruka Kimanga nadhani wamechanganyika no wonder wananchi wanaona ni joke of the town wanakura fedha zao
 
Ahh.Wamenichosha kabisa.Hawana jipya.Ni bora waseme wao ni Ukawa No2.Ili wananchi tuwajue wako huko.Kuliko kutuacha kwenye Mataa.Wanatakiwa waendeleze Sera ya ccm.Siyo kujifanya eti wao ndiyo Ukawa sasa.
 
Aibu ya CCM,watia nia wote wanailalamikia serikali yao wakati wao wana nafasi na hakuna hatua zozote walizochukua.Sasa sijui wakiupata huo urahisi,wataendeshaje nchi?
Mmoja anashangaa serikali kutembeza bakuli,mwingine akipewa urahisi atadhibiti RUSHWA.Kweli!
 
Waacheni watiririke wote na vyote,wanawarahisishia UKAWA kuwa na ajenda kipindi cha kampeni,
 
huo ndo ukweli. sijui walivyokuwa huko serikalini walikuwa wanafanya nini. inawezekana walikuwa wanatafuta matatizo na sio kutatua matatizo kamwe.
 
Tangu kuanza kwa haka "kamchakato" ka kutangaza nia kumekuwa na hoja kede kede na za kuvutia kutoka kwny hotuba zilizojaa umahiri wa hali ya juu kutoka kwa watangaza nia hawa

Baadhi wakiahidi "mabadiliko" katoka sekta mbalimbali kama kilimo, elimu, afya na mengineyo.

Wengine wakionesha kukubali yale yale wanayokataa uwepo wake kwny serikali hii hii ya CCM iliyoko madarakani. Kutokuwajibika kwa viongozi, rushwa, utekelezaji mbovu wa ahadi za viongozi kipindi cha kampeni.

Je nn maana ya ahadi hizi za watangaza nia??
 
Pamoja na kejeli, majigambo na dharau zote walizokuwa nazo bungeni Leo wamekula matapishi Yao wenyewe.

Hotuba za watangaza nia wote wa ccm zimejaa malalamiko yaleyale ambayo tumekuwa tukiyasikia kila siku kutoka kwa wabunge wa upinzani ambayo watangaza nia haohao wamekuwa wakiyabeza na kuyakejeli bungeni.

Hii inamaana gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom