Ili uwe wa karibu niandike nini?Mbona mfano wa mbali sana? Weww una jambo lako
Busu la Kenge and other Scumbabags waliJustify Netanyahu kuua unArmed and innocent civilians kwa madai kuwa Hamas wanajificha kwa Raia huwezi kupata Hamas lazima ujue Raia sasa Justification hiyo hiyo Police wanatumia na wanasema Kuna Wahuni na wezi walijificha kwa Waandamanaji ndio walikuwa wanawasaka mpaka kupelekea mauaji.Nimewakusudia watanganyika wanaotumia mitandao ya kijamii.
Wakati wapestina wanapigania haki zao na ardhi yao dhidi ya WaIsrael, Watanganyika walikua wakibeza na wakiona Palestina ni haki yao kufanyiwa vile.
Leo watanganyika tumeonjwa tu, nasema tumeonjwa kilichotokea siku 1 , 2 au 3 hayafanani yaliowakuta Wazanzibari au hata Palestina hata robo yake.
Leo kelele zimekua nyingi upande wa Tanganyika.
Hili liwe funzo kwetu, kwamba unaweza ukadai haki yako lkn wenye nguvu wakakunyazamisha na kukuundia propaganda
Kwa hivyo yote hayo weye unayaamini?Busu la Kenge and other Scumbabags waliJustify Netanyahu kuua unArmed and innocent civilians kwa madai kuwa Hamas wanajificha kwa Raia huwezi kupata Hamas lazima ujue Raia sasa Justification hiyo hiyo Police wanatumia na wanasema Kuna Wahuni na wezi walijificha kwa Waandamanaji ndio walikuwa wanawasaka mpaka kupelekea mauaji.
HapanaKwa hivyo yote hayo weye unayaamini?
sawa, tuutane ICCNimewakusudia watanganyika wanaotumia mitandao ya kijamii.
Wakati wapestina wanapigania haki zao na ardhi yao dhidi ya WaIsrael, Watanganyika walikua wakibeza na wakiona Palestina ni haki yao kufanyiwa vile.
Leo watanganyika tumeonjwa tu, nasema tumeonjwa kilichotokea siku 1 , 2 au 3 hayafanani yaliowakuta Wazanzibari au hata Palestina hata robo yake.
Leo kelele zimekua nyingi upande wa Tanganyika.
Hili liwe funzo kwetu, kwamba unaweza ukadai haki yako lkn wenye nguvu wakakunyazamisha na kukuundia propaganda
Ukweli ni kuwa hakuna kitu chochote au sababu yoyote inayoweza kujustify mtu kufanyiwa manyanyaso iwe mtanzania,mpalestina au mynyarwanda hata Tundu Lisu mwenyewe msimomo wake juu ya kinachoendelea pale mashariki ya kati, kati ya wapelestina na Israel yeye yupo upande wa palestina kwa uwazi kabisa kuwa hawatemdewi hakiBusu la Kenge and other Scumbabags waliJustify Netanyahu kuua unArmed and innocent civilians kwa madai kuwa Hamas wanajificha kwa Raia huwezi kupata Hamas lazima ujue Raia sasa Justification hiyo hiyo Police wanatumia na wanasema Kuna Wahuni na wezi walijificha kwa Waandamanaji ndio walikuwa wanawasaka mpaka kupelekea mauaji.
Sasa kwanini wazungu waliofunga kesi ICC ,wasituachie watz tupambane kivyetu?Ya Palestina hayatuhusu wapambane na Hali Yao