Watanganyika na wazanzibari nani mwenye matatizo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanganyika na wazanzibari nani mwenye matatizo?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by emmanuel1976, Jun 21, 2011.

 1. emmanuel1976

  emmanuel1976 JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa miaka takribani 47 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna malalamiko mengi juu ya muungano wenyewe ingawa wana ccm wenyewe wanakaa kwamba hakuna matatizo. Swali langu ni, kati ya watanganyika na wazanzibar nani mwenye matatizo?
   
Loading...