johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,721
- 143,172
Nakumbuka Kwenye mkutano wa ACT Wazalendo pale Zanzibar walipokuwa wanazungumzia Uwekezaji wa DP World Kiongozi mh Jussa alisema tatizo Kubwa la Watanganyika ni Uvivu wa Kusoma historia
Jussa alisema Watanganyika Historia yao hawaijui hivyo hawawezi Kuwa na uelewa wowote wa Historia ya Zanzibar
Nimeona mjadala wa Watanganyika baada ya Tundu Lisu kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa Israel na Palestine, Makubaliano na Jussa
Lisu amesema facts zote za kihistoria na rejea za maazimio ya UN lakini Watanganyika wameng'ang'ana na Kauli ya Isaka kwa Yakobo kwamba " Kila akubarikiye atabarikiwa na kila akulaaniye atalaaniwa"
Ikumbukwe kuwa Wakati Yakobo anabarikiwa alikuwa amejivisha ngozi ya Mbuzi mikononi ili kumtapeli baba yake aliyekuwa haoni
Ndio Sababu Sisi wengine tulikasirika yule muethiopia alivyoiita CCM kuwa Chama Cha Mambuzi 🐼
Watanganyika someni historia kama Wenzenu Wazanzibari
Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi!