Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako

Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako

Je unaingia jamii alimaarufu jf kupitia simu ya aina gani ?

1. Hauwei

2. Iphone

3. Samsung

4. Tecno


Simu Nyingine taja mwinyewe. Ukikuta mtu mnatumia simu inayofanana jitahidi muwe marafiki kadri inavyowezekana.

NB: Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako ili mpate kusaidia pale mnapopatwa na matatizo ya simu zenu.

Mimi naitumia ki itel kidogoooo cha tochi. Nmefunga na rubber band.
Camon 11 [emoji39]
 
We ni kiraka kama viraka vingine tu na ulichokiandika hukieliwe..


Mm nikajua umekuja na Access ya kutambua simu za wana jf pumbafu
 
Back
Top Bottom