Watamani kuwa Faru Fausta

kidaganda

JF-Expert Member
Aug 26, 2013
2,995
2,572
Faru Fausta aliyepo hifadhi ya Ngorongoroba bajeti yake ya chakula ni zaidi ya million 60 kwa mwezi. Ni sawa na kwamba Faru Fausta kila siku anatumia million 2

Kwa jinsi maisha yalivyo magumu unaweza tamani kuwa Faru Fausta
,
 
Kweli mkuu,lakini ukubali kutumika kama anavyotumika,,na uingize anachoingiza! Sasa unatakaje kuwa FF wakati huo huo huna faida yoyote?yaani ukaishi anapoishi,ule anachokula,usopost kitu jf,na tuje kukupiga picha mbona rahisi tu.!!!!!!!!
 
Dah kuikosa jf hapana bora niendelee kuishi huku uswahilini..
 
Back
Top Bottom