Toka mama arudi kutoka Royal Tour nasikia watalii wameongezeka sana cha ajabu wote wanashukia KIA na sio Dar ama Dodoma.
Sasa kwanini nasema wasishukie huko. Sababu ya kwanza ni unapunguza matumizi ta mtalii. Mtalii anatakiwa kushukia mbali na sehemu ya utalii ili aanze kutumia hela zake mapema kabla ya kufika eneo husika hii itasaidia kuongeza kipato.
Mfano akishukia Dar baadae atalazimika kupanda ndege nyingine mpaka KIA au eneo husika hii inaingiza faida.
Kuna wengine watapumzika kabla ya kuendelea na safari atatafuta hoteli yenye hadhi atalala atakula na kunywa atafanya starehe kabla ya kuendelea na safari yake hii itamfanya aanze kutumia pesa zake kabla ya kufika eneo husika la utalii hii inaongeza pato la kigeni nchini.
Pili inapunguza exposure kwa mtalii. Inapunguza uhitaji wa mtalii kutembelea maeneo mengine ambayo sio Arusha wala Moshi mfano mtalii anapoenda Ngorongoro anakosa hamu ya kutembelea sehemu nyingie za nchi mfano hifadhi ambazo zipo Kusini na Magharibi kama Ruaha na Gombe ambazo pengine asingeanzia Arusha angezitalii pia
Sababu ni nyingi ila za msingi ni kama hizo nilizoongea TUTAFAKARI.