Watali 700, na agents takbani 160 duniani kote wafurika Tanzania

cblhbn

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
394
494
Majira ya saa 9 :40 usiku watali 700 na mawakala wao waliwasili na ndege 3 wakitoka nchini Israel, safari yaliyo ratibiwa ofisi za ubalozi nchini Israel.Watali hao walipokelewa na mkurugenzi Mkuu wa Tanzania tourist board, Tanzania imekua ikipokea maelfu ya watu kutoka nchi mbalimbali duniani watakao kamilisha idadi ya watalii million 1, ili kufikia malengo iliyojiwekea mpaka mwishoni mwa mwaka wa 2020.
Tanzania ndio nchi pekee duniani ambayo iliyotenga ardhi kubwa (38.5%) ya ardhi yote. Tanzania ina 29 game reserve na 40 conservation areas including ngorongoro conservation area. Tanzania is the home of the highest point in Africa the Kilimanjaro mountain. In 2018 According to Safari booking website, Serengeti national park was voted as the world best safari park visited by 600k tourist from all over the world.
Tanzania imetajwa kuchukua nafasi ya nne Africa, kwa kuingiza mapato makubwa ($2.56b), nyuma ya Egypt, South Africa, na Morocco.
Changamoto hazikosi katika kutafuta mafanikio, bado safari ni ndefu. Pongezi nyingi ziende kwa serikali ya awamu ya tano chini ya comred J. P. J. Magufuli kwa mapinduzi haya makubwa.
 
Back
Top Bottom