Senetor ulambo
Member
- Feb 23, 2012
- 15
- 1
Naomba mnisaidie frequence za chanel zinazopatikana kwenye intersat 906(64e) ukiacha hizi za kibongo nisaidieni jamani
Jamani hivi sisi wenye madishi kuanzia mwakani tukiingia rasimi kwenye mfumo wa digitali madishi yetu hayatafanya kazi naombeni majibu wadau.
Madish yatafanya kazi mkuu,ila hizi antenna kama Sonet ndo azitaweza kamata TV yeyote
Na je tutatumia receiver zetu za kawaida eg mediacom au itatulazimu kununua ving'amuzi