Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,366
- 4,554
Nachokushauri ni hivi, ingia file manager nenda upande wa storage yako. Touch yakifunguka folders zote litafute Whatsapp.
Asante kuna kanielekeza njia nyingine nmeifuata imesaidiaNachokushauri ni hivi, ingia file manager nenda upande wa storage yako. Touch yakifunguka folders zote litafute Whatsapp.
Ndani ya folder ya whatsapp fungua folder linaloitwa Databases, ndani yake utaona files nyingi. Long press moja kuselect halafu chagua select all juu kabisa ya simu, maliza kwa kudelete utayafuta yote. Baada ya hapo hebu cheki storage yako, ipo vilevile?
umefanya nini? system imepungua mpaka ngapi?
Nimedownload app SD cleaner, system imepungua mpaka 4GBumefanya nini? system imepungua mpaka ngapi?
Yale mafile niliyokwambia uyafute, ni yanajijaza pindi unapoangalia image au video status hivyo storage inapungua. Nenda file manager>storage>whatsapp>databases>delete all folder inside this,
hapana aisee, hapa anafuta backup zake zote za whatsapp, msg zake zote zitapotea mpaka kwenye magroupYale mafile niliyokwambia uyafute, ni yanajijaza pindi unapoangalia image au video status hivyo storage inapungua. Nenda file manager>storage>whatsapp>databases>delete all folder inside this,
yaondoe yote halafu tazama
Backup ya whatsapp inafanywa kwenye email siku hizi si kwenye simu. Mimi mbona nimefuta mara kibao na message za tangu April zipo.hapana aisee, hapa anafuta backup zake zote za whatsapp, msg zake zote zitapotea mpaka kwenye magroup
hivi unafahamu kwanini whatsapp imekuwa maarufu kuliko apps nyengine? whatsapp walianzisha mfumo wa chat zako zinakaa kwenye simu yako na sio server ya mtu yoyote ile, wewe kama umeamua kuwapa google taarifa zako zote ni wewe, ila mimi na watu wengine hatutaki taarifa zetu ziende google, hapo unaposema tufute ndio chat zetu zote zinapokaa.Backup ya whatsapp inafanywa kwenye email siku hizi si kwenye simu. Mimi mbona nimefuta mara kibao na message za tangu April zipo.
Ipo hivi, ukifungua status uangalie video au picha jua file lake linakuja mfumo wa database na kukaa huko kwenye folder linaloiwa Databases
ume update nini?Samahan wakuu nme update vodaphone301 lakn baada Ku update google playstore haifunguki nifanyajeee wakuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
software gani? hio playstore? ume update vipi playstore? manual? ulivyo update ume update na playservice? ukifungua inakupa error gani?