Watalaam nisaidieni plizzz.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watalaam nisaidieni plizzz..

Discussion in 'JF Doctor' started by Pelham 1, Sep 5, 2012.

 1. Pelham 1

  Pelham 1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Habari zenu ndugu zangu Jamvini: Tumbo linaniuma sana sielewi tatizo nn haswa ikifikapo mida ya jioni, Nisaidieni plizzz nitumie Tiba ama dawa gani. Natanguliza Shukran za dhati.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Check ulcers!
   
 3. a

  amigooo Senior Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni muhimu kwenda hospitalini kucheki ni nini shida kwanza mdau. Huwezi kutumia dawa bila kufahamu unapambana na nini. Siyo japo zuri kabisa kutumia dawa yoyote kwa tatizo lolote la kiafya bila kufahamu
   
 4. Majimoto

  Majimoto Senior Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Mwanamke au mwanamume
   
Loading...