Watakuwa wanaangaloa nini?

Watakuwa wanaangalia mechi kali sana ya Simba na Yanga.

Sasa hapo kuna team imepata penalty ya kusawazisha. Wanamkodolea mpiga penalty.
 
Hao wanaangalia live mahojiano ya mbunge wa Chadema aliyehama Chadema na kujiunga CCM ili aweze kuunga juhudi za muovu fulani!
 
Pale graduate anapotafuta jina lake kwenye ya wadaiwa sugu wa loan board [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…