Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Ugonvi wa "mabeberu" na serikali(mama) tunaoumia ni sisi wananchi (mtoto)Mbona huyo mwanaume ni kama mzungu?
BeberuMbona huyo mwanaume ni kama mzungu?
OK, hapo nimeelewaBeberu
Mkubwa ambae alipewa dolari kadhaa na sasa akaleta jeuri huku akijua kwamba mwenye hisani ambae ni beberu akiamua kutoa adhabu, basi mkubwa atamgeuzia mtoto ambae ni mwananchi mnyonge ndio atakae umia kwa kipigo cha rungu atakacho kitoa beberu.Mbona huyo mwanaume ni kama mzungu?
Hivyo ni vikwazo!Unaishi Tanzania hii kweli?!Mbona huyo mwanaume ni kama mzungu?
Nisamehe mkuuHivyo ni vikwazo!Unaishi Tanzania hii kweli?!
Poapoa mkuu!Nisamehe mkuu
Nimeelewa sasaUgonvi wa "mabeberu" na serikali(mama) tunaoumia ni sisi wananchi (mtoto)
Kweli kabisa, wakubwa wanajua wao hawataumia,nashangaa kuna majitu mambumbu yanamuunga mkono Kabudi.Mkubwa ambae alipewa dolari kadhaa na sasa akaleta jeuri huku akijua kwamba mwenye hisani ambae ni beberu akiamua kutoa adhabu, basi mkubwa atamgeuzia mtoto ambae ni mwananchi mnyonge ndio atakae umia kwa kipigo cha rungu atakacho kitoa beberu.
Hivyo basi kwa tafasiri ya haraka, mkubwa hajali adhabu yeyote itakayo tolewa na beberu.
Beberu anatoa kipigo ili mpate akili za kudai haki zenu wenyeweMbona huyo mwanaume ni kama mzungu?
USA nao wanasema wanataka kujua Dola zao 67 m walizotoa kwa ajili ya elimu zimetumikajeMuda tunahangaika waliokula Mil27 hawatawaza kitu
Wameshajua serekali ya Magufuli ni ya kifisadi na ya kitapeli!USA nao wanasema wanataka kujua Dola zao 67 m walizotoa kwa ajili ya elimu zimetumikaje