Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Nchi hii ina kila kitu sema watu hawataki kutumia hasa watalaam wanao ajiriwa na kushinda kwenye vilabu vya pombe kwa kuwa hakuna anaye wafuatilia.
Mfumo huu wa uongozi ulifanya vizuri enzi za nyerere na hawa watu walikua na jukumu kubwa sana kwa kila eneo walilo pangiwa.
Watu hao wapo kila kata ya Tanzania nao ni kama ifuatavyo.
1. Afisa Kilimo Kata
2. Afisa afya kata
3. Afisa Elimu kata
Wengi wa hawa watu siku hizi wanashinda kwenye vilabu vya pombe na wanakijiji kwa kuwa hakuna anaye wafuatilia.
agizo la Rais la kupambana na Njaa, Usafi na Elimu linawategemea sana hawa watu
Hivyo Basi Mkuu wa mkoa atakaye watumia vizuri hawa watu watatu atakua wakanza kumkuna Mzee Magu .