Surgical Blade
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 349
- 16
Mkuu hata siku moja apple hafuati nyayo za microsoft apple ni namba nyingine kabisahio ni concept tu. microsoft ni arrogant hawez akakaa akaanza kuiga iga watu atataka kitu kipya ili watu waweze kukitofautisha na chengine.
metro ni future kaka development zote zita evolve kutokea kwenye start screen wataichambua chambua desktop yote nayo iwe metro.
angalia google, apple na facebook wote wapo inspired na flat ui kila mmoja kwa wakati wake anafata nyayo za microsoft
hio ni concept tu. microsoft ni arrogant hawez akakaa akaanza kuiga iga watu atataka kitu kipya ili watu waweze kukitofautisha na chengine.
metro ni future kaka development zote zita evolve kutokea kwenye start screen wataichambua chambua desktop yote nayo iwe metro.
angalia google, apple na facebook wote wapo inspired na flat ui kila mmoja kwa wakati wake anafata nyayo za microsoft
Mkuu hata siku moja apple hafuati nyayo za microsoft apple ni namba nyingine kabisa