WamekatwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaEL on work! Kweli 2015 ccm hawana chao cdm 2jipange vizuri na pale kijana,mzee yeyote anaefanya kazi za kukihujumu chama anapobainika basi hatua stahiki zichukuliwe bila kujali cheo,rangi,umri,kabila,elimu na kanda kwa maslah ya cdm na tz, Mungu ibariki cdm
Siku tukifanikiwa kumchomoa Zitto Kabwe CDM, chama hiki kitadumu sana, hata kama hakitachukua nchi 2015
promi demana
Hapa ndipo mnapoanza kupotoka kwa kuingia mwenye mtego wao kwa kuanza kushutumu watu bila kufanya utafiti...
Ni lazima Chadema kiwe makini na kiendeshe mambo yake kisayansi zaidi kuliko kuendeshwa mambo kwa hisia. Kuwepo chombo maalumu cha utafiti na ikibidi washirikine na wataalamu wa nje ya nchi ambao nuna hakika wapo wenye nia njema na Chadema na nchi kwa ujumla, vinginevyo tutajikuta nchi inaingia mikononi mwa mafisadi.
Dhambi ya unafiki miongoni mwa washabiki na wapenzi na viongozi wa CHADEAM soon itawatafuna kwani hata sisi ambao ni washabiki ambao si wanachama tunajua ila nyie mnajifanya hamjui.
Acheni kuogopa na hilo kundi baya ni hili hapa chini.
John shibuda, Zitto kabwe, Juliana shonza, Mtela mwampamba, Benard saanane, Habib Mchange, Nyakurungu, Rose kamili, Dr.kitila Mkumbo, erasto tumbo, Adamu chagulani, Henry matata, yule mbunge vitimalum kigoma ambaye ni binamu wa Zitto. ........
Chadema kuweni makini na hawa watu na anayebisha aje nimchambue mmoja mmoja.
Dhambi ya unafiki
miongoni mwa washabiki na wapenzi na viongozi wa CHADEAM soon
itawatafuna kwani hata sisi ambao ni washabiki ambao si wanachama
tunajua ila nyie mnajifanya hamjui.
Acheni kuogopa na hilo kundi baya ni hili hapa chini.
John shibuda, Zitto kabwe, Juliana shonza, Mtela mwampamba, Benard
saanane, Habib Mchange, Nyakurungu, Rose kamili, Dr.kitila Mkumbo,
erasto tumbo, Adamu chagulani, Henry matata, yule mbunge vitimalum
kigoma ambaye ni binamu wa Zitto. ........
Chadema kuweni makini na hawa watu na anayebisha aje nimchambue mmoja
mmoja.