donocean
Member
- Jan 10, 2019
- 72
- 46
Habarini wana wa jukwaa hili,
Tatizo la ajira ni kubwa mno hapa nchini kwa sasa, ambapo watu wengi wamekuwa wakitamani kufanya kazi serikalini wakiamini ndiyo kwenye unafuu na mapumziko ya kutisha.
Lakini kwa mtazamo wangu, siyo mkubwa sana ukilinganisha na nchi za wenzetu kama Marekani na nchi nyingine zilizoendelea ambapo mtu kupata ajira angalau serikalini inakubidi uwe na kipaji cha ajabu sana.
Wasomi wengi wa Tanzania wamekuwa wakichagua sana kazi. Kwa mfano, kwenye nchi za wenzetu unakuta mtu anafanya kazi za ndani huku ana Master's au hata kufanya kazi bar huku ana degree nzuri tu.
Mtu unaitwa ukafanye kazi ya kutafuta wateja au customer care, au call center lakini unakataa kwa kigezo cha elimu uliyo nayo.
Kampuni nyingi za kizungu ukipeleka CV watakuambia una experience? Na experience wanazotaka kuziona ni kama umewahi kuuza hata duka la mtu au kama umewahi kufanya kazi bar wanataka ionekane kwenye CV.
Kwa hiyo Watanzania tuache kuchagua kazi kwa kigezo cha elimu. Kama una shahada unaweza kufanya hata kazi ya kuuza duka, kuhudumia mgahawa, kukaa counter na nyingine nyingi tu zinazofanana na hizo.
Mim pia ni mhanga wa ajira ila sichagui kazi yoyote itakayokuja mbele yangu poa tu, na nina Shahada ya Kwanza ya Uchumi na Maendeleo ya Jamii.
Tusichague kazi hata kama una PHD, unless soko liwe upande wako.