Watafuta ajira tuache kujimwambafai

Watafuta ajira tuache kujimwambafai

major mwendwa, Huwa naangalia mawazo ya watanzania wengi kuhusu tatizo la ajira nikaja kugundua watanzania wengi ni fuata upepo na jambo hili co tu kwa watanzania ambao elimu yao ni ndogo hapana, mpk walioenda shule wengi wao majibu yao ni yale yale ya kimihemko na ya kusikiasikia, hata mtoa uzi nae ameenda kwny mkumbo ule ule, imefika kipindi elimu imeanza kuonekana c kitu eti kwasabu ya tatizo la ajira, vijana hawataki kusoma kwasabu ya kuharibiwa kisaikolojia na wapumbavu wachache wanaoongea maneno ya kusikia sikia, mkuu major mwendwa umeongea vitu konki sn na huu ndio ukweli, tuache kupotosha elimu ibaki kuwa elimu cz hakuna taifa likaendelea pasipo kutia mkazo ktk elimu, hili tatizo la ukosefu wa ajira lisichanganywe na elimu kwakuwa tatizo la ajira ni changamoto hata kwa wasioenda shule, cha msingi ni kufanya midahalo yenye tija km taifa tujue tuna lisovu vp tatizo hili na co kujibu kwa hoja nyepesi nyepesi km hoja aliyoleta mtoa mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi, tatizo ni kubwa na sio rahisi kuliondoa kwasababu linapande mbili ambazo hazina common grounds to stand, wapo ambao wamejiajiri, wapo walioajiriwa lakini wapo ambao hawana ajira hawa wote hawawezi kuwa na mtizamo unaofanana, lakini pale ambapo tatizo litatukumba sote kwa maana ya walio na ajira kushindwa kuwasaidia wategemezi wao pengine tunaweza kukaa mezani
 
Kusoma sio kazi ila kazi ni kubadilisha elimu kuwa pesa 2020
 
Back
Top Bottom