amsr
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 259
- 303
Nina nokia n8 lakini ina tatizo la touch ila nikiirestart inakuwa poa tatizo linakuja pale inapokaa kwa mda bila kui2mia ndo inaanza kuzingua na inapozingua inazingua baadh ya parts za screen na nimeshajarib kufanya hardreset lakin bado tatizo halijaondoka..so nifanye vipi ikae sawa?