Ng'azagala
JF-Expert Member
- Jun 7, 2008
- 1,288
- 222
Ni wepi wataalamu wa upigaji rangi kwa magari na pia wa bei ambayo ni reasonable. Nimepiga rangi mahali ila zinafubaa mapema.
Thanks Zipo wapi hiziNenda garage za wachina, au kule ambapo Diamond amepiga rangi BMW yake
Thanks Zipo wapi hizi
Tttra mikocheni ila uwe pochi nenemadale