Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
alosema anataka bure nani?Kampuni zipo kibao hapo town, bure ni gharama.
yaani lindo moja wanabadilisha mtu kila siku mkuu? halafu kumbuka sio kwamba wanawafanyia rotation inasemekana wengi wanaacha kaziMakampuni yote ya Ulinzi hakuna mlinzi anayelinda eneo moja kwa muda mrefu.
Mkitaka hivyo tafuteni ambaye hayupo ndani ya kampuni.
Huyu mtamlipa wenyewe kwa jinsi mtavyoelewana.
Hujaelewa, inaoneka hiyo kampuni ni cheap kuliko zingine, wakati wa kusaini mkataba kuna makubaliano ambayo yanaibana kampuni pamoja na wewe.alosema anataka bure nani?
unajua tunawalipa sh ngapi?Hujaelewa, inaoneka hiyo kampuni ni cheap kuliko zingine, wakati wa kusaini mkataba kuna makubaliano ambayo yanaibana kampuni pamoja na wewe.
Haya Miss Natafutaunajua tunawalipa sh ngapi?
Kama ni kampuni mlinzi hatakiwi kuzoea lindo matokeo yake anaanza kutongoza beki 3Mkitaka hivyo tafuteni ambaye hayupo ndani ya kampuni.
Huyu mtamlipa wenyewe kwa jinsi mtavyoelewana.
Sasa kumbe tatizo umeshalijua kwamba hawapei chao ndo maana wanafanya wanavyotaka piga chini kampuni tafuta ingine.yaani lindo moja wanabadilisha mtu kila siku mkuu? halafu kumbuka sio kwamba wanawafanyia rotation inasemekana wengi wanaacha kazi
tutawaondoa ila ndo naomba ushauri hao wapya tuwaambie waweje mkuu i mean walizi wazuri wanatakiwa waweje?Sasa kumbe tatizo umeshalijua kwamba hawapei chao ndo maana wanafanya wanavyotaka piga chini kampuni tafuta ingine.
Kampuni ya kueleweka na walinzi wake wanajielewa hata wana supervisor ambae anawatembelea lindoni kukagua. Kama hela si tatizo wachukue G4S,Ultimate security,SGA,KK hawana ubabaishaji.tutawaondoa ila ndo naomba ushauri hao wapya tuwaambie waweje mkuu i mean walizi wazuri wanatakiwa waweje?
asante mkuuKampuni ya kueleweka na walinzi wake wanajielewa hata wana supervisor ambae anawatembelea lindoni kukagua. Kama hela si tatizo wachukue G4S,Ultimate security,SGA,KK hawana ubabaishaji.
Kuna kampuni nyingine walinzi wao ni wezi balaa, nishalizwa sema kampuni yao walinilipa kuwa makini.
hapa tunaishi wasela tu mabeki tatu wanakuja na kuondoka saa kumi na mbili mkuu!Kama ni kampuni mlinzi hatakiwi kuzoea lindo matokeo yake anaanza kutongoza beki 3
Mimi sio mtaalam wa ulinzi lakini nimewai kuitumia kampuni ya ulinzi muda wa kuingia kazini ni huo huo kumi na mbili sasa kumjua mlinzi mzuri hilo ni jukumu la kampuni lakini wewe kama mteja na hujarizika na utendaji wa mlinzi una haki ya kulalamika kwa kampuni husika ili hatua stahiki zichukuliwe.tutawaondoa ila ndo naomba ushauri hao wapya tuwaambie waweje mkuu i mean walizi wazuri wanatakiwa waweje?
asante sana ni sh ngapi kwa mwezi mkuu?Jaribu kutafuta kampuni la kigeni me ofsn kwangu nimeweka G4S Securing Solution. Kampun zuli sana. Kama uponahitaji Sema nikuconnect nao.. Kwanza askar wake wasafi kwel.. Na wakalim. Wanakaguliwa kila baada ya masaa mawili inapita patroling yao
hawa wabongo hatuwataki tena mkuu wababaishaji sanaMimi sio mtaalam wa ulinzi lakini nimewai kuitumia kampuni ya ulinzi muda wa kuingia kazini ni huo huo kumi na mbili sasa kumjua mlinzi mzuri hilo ni jukumu la kampuni lakini wewe kama mteja na hujarizika na utendaji wa mlinzi una haki ya kulalamika kwa kampuni husika ili hatua stahiki zichukuliwe.