ndugu zangu wanajamvi, leo nimekutana amplifier ambayo iliundwa na mzee fulani mtaalamu sana wa haya mambo hapa iringa mjini, yan nimeshangaa kuona ametumia transistor BU508A NPN transistor, alafu ameweka mbili kama maini power katika iyo amplifier. Mara nyingi hz transistor nlizoea kuziona zinatumika katika switching ya crt tv,