Wataalamu wa smartphone msikose kutoa neno hapa, Msaada jamani

Papi Chulo

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
6,260
7,389
Nina simu yangu HTC one ni simu ninayoipenda sana sana sana, lakini imepatwa na tatizo..mara ya mwisho ilikuwa inachemka sana nikitumia kwa muda mrefu na ile screen yake inaonyesha kama kuungua fulani.

Nikiacha kutumia inapoa..sasa juzi ilivyoisha chaji usiku,asubuhi nimeiweka chaji haipeleki wala kile kitaa chekundu hakiwaki tena.....tatizo sasa hii simu kila nikiangalia sehemu ya kufungulia mfuniko,sipaoni!..yaani mfuniko wake wa bati la aluminium umeunganishwa na simu,yaani haifunguki na betri ni la ndani halitoki,

Je, inaweza kupona?
 
Kutokana na maelezo yako wewe siyo fundi, nakushauri tu ipeleke kwa fundi akakutatulie tatizo lako.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Nina simu yangu HTC one ni simu ninayoipenda sana sana sana, lakini imepatwa na tatizo..mara ya mwisho ilikuwa inachemka sana nikitumia kwa muda mrefu na ile screen yake inaonyesha kama kuungua fulani.

Nikiacha kutumia inapoa..sasa juzi ilivyoisha chaji usiku,asubuhi nimeiweka chaji haipeleki wala kile kitaa chekundu hakiwaki tena.....tatizo sasa hii simu kila nikiangalia sehemu ya kufungulia mfuniko,sipaoni!..yaani mfuniko wake wa bati la aluminium umeunganishwa na simu,yaani haifunguki na betri ni la ndani halitoki,

Je, inaweza kupona?
Ni kawaida battery ikiisha chaji kabisa kufanya hivyo. Zamani simu za battery zinazotoka tulikuwa tunaboost battery na kobe kidogo then unarudisha kwenye simu maisha yanaendelea.

Kwako hapo tafuta chaja yenye amps nyingi kama 2.0 inatosha, kisha iache kwenye chaji kwa muda baadae itawaka.
 
fresh ndugu yangu ngoja niiaribu
 
Back
Top Bottom