davie dee
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 934
- 1,215
Nipo kariakooDah uko wap unifanyie[emoji6] maana hao mafinga watanipiga balaa na hii Hali ya magu crisis duh
Nipo kariakooDah uko wap unifanyie[emoji6] maana hao mafinga watanipiga balaa na hii Hali ya magu crisis duh
Dawa ni ku synchronise kwenye Google hapo hautakaa upoteze contactsUnaenda kwenye contact then una export to sd card from phone to sd card
now ndo natak niende kariakoo natokea mbagala mtaa wa agrey jiran na round about ya zamaniMe now nipo ndovu na jangwan we wap
Njoo pmnaomba bas upite ofisini kwangu ukimaliza shughuli zako kama hutojari
Ni vyema kumsaidia lakini c kwamba mafundi wakichukua hela wanakosea hivyo c vyema kuwafundidha watu kukwepa gharama na ajue pia kuwa kuna risk kwenye kufungua cmHyo camera imetoka kwenye connector yake either ulidodosha or uligongeza mahala na si tatzo la software ni hardware hyo so inatakiwa cm ifunguliwe camera ipachikwe vzur mi ningekufanyie bure kabisa ila hapo kwa fundi andaa si chini ya elf 15
Dawa ni ku synchronise kwenye Google hapo hautakaa upoteze contacts
Sawa mkuuNi vyema kumsaidia lakini c kwamba mafundi wakichukua hela wanakosea hivyo c vyema kuwafundidha watu kukwepa gharama na akue pia kuwa kuna risk kwenye kufungua cm
Hili tatizo common sana kwa product za tecno mkuu na mara nyingi ikizingua ndiyo imetokawale wataalam wa simu, nina simu ya tecno y6 ila ina zingua camera zoote kuanzia ya simu yenyewe hadi nilizo download kila nikiingia naambiwa cant connect to the camera.
nimejaribu kupunguza vitu bt still zinagoma sasa nataka ni restore simu je kuna app yoyote itakayonisaidia kuludisha vitu vyangu tena kwenye simu? eg sms, apps, contacts ets
wataalam tafadhal nisaidien.