wataalamu wa simu nisaidieni

lydiah

Senior Member
Sep 2, 2015
151
101
wale wataalam wa simu, nina simu ya tecno y6 ila ina zingua camera zoote kuanzia ya simu yenyewe hadi nilizo download kila nikiingia naambiwa cant connect to the camera.
nimejaribu kupunguza vitu bt still zinagoma sasa nataka ni restore simu je kuna app yoyote itakayonisaidia kuludisha vitu vyangu tena kwenye simu? eg sms, apps, contacts ets
wataalam tafadhal nisaidien.
 
Nenda sehemu ya Settings. Kisha kwenye Applications. Kisha kwenye All applications, tafuta Camera. Kisha Clear Data, then force to stop.

Kisha reboot simu yako. Itakuwa inafanya kazi kama kawaida.
 
thenx... iyo nimejarib mara nyingi bt imeshindikana
 
kwaiyo simu za tecno ni ilimladi tuu yaan hata ikiharibika it doesnt matter ....sio?
yaan kwng mimi hiyo ndo slogan kubwa ya tecno me nilikuw na samsung s3 yang lkn baada ya kutoka tecni W3 niliipenda sana hivyo nilijichanga mwishoni mwa mwaka jana nikanunua ka w3 huku niifadhi Samsung yang. hazikupita hat wiki 3 nikaanza kuona matatizo kibao kama
1. KUKATA KWA MTANDAO HUKU UPO ONLINE yaana kama ilikuwa 3g au h+ unakuta ghafla imepotea
2.KUPOTEA KWA MAFILE HASA MIZIKI hii ndo inanikera sana yaan kama nimechoka kusikiliza huo miziki inabidi niuache tu maana nikiufuta kama ulikuwa wa chainsmokers closer ntakuta na mingine miwili mitatu hiv haipo
3.KUSEMA FAIL IN GETTING INFORMATION hili tatizo nalo silielew linamaanishag nini ila linanikera sana
4.APPS KU STOP BILA SABABU NA SIMU KURUDI HOMEPAGE hili nalo ni tatizo kubwa sana na mara nyingi sana linatokea kweny simu za tecno kwa mfano upo unasikiliza mziki au unacheza game utashangaa gafla kile kitendo kina stop na simu inarud homepage au utaambiwa UNFORTUNATELY THIS APP HAS STOPPED
me nakushauri kama unauwezo kidogo uza hiyo tecno nunua Samsung au Nokia
 
Hyo camera imetoka kwenye connector yake either ulidodosha or uligongeza mahala na si tatzo la software ni hardware hyo so inatakiwa cm ifunguliwe camera ipachikwe vzur mi ningekufanyie bure kabisa ila hapo kwa fundi andaa si chini ya elf 15
 
hakuna cm mbovu kama tecno W3 bora ntumie nokia ya torch kuliko kuangaika na tecno mi nna ka S2
 
Contacts unaweza kuzisave (Sync) kwenye google account yako mkuu na ukirestore simu zinarudi palepale
 
me nimerud kweny Samsung s3 yang nilinunua mwaka juz kipind naanz form five lakn nzima mpk leo hii na ndo ninayotumia kutype hp
 
yaan kwng mimi hiyo ndo slogan kubwa ya tecno me nilikuw na samsung s3 yang lkn baada ya kutoka tecni W3 niliipenda sana hivyo nilijichanga mwishoni mwa mwaka jana nikanunua ka w3 huku niifadhi Samsung yang. hazikupita hat wiki 3 nikaanza kuona matatizo kibao kama
1. KUKATA KWA MTANDAO HUKU UPO ONLINE yaana kama ilikuwa 3g au h+ unakuta ghafla imepotea
2.KUPOTEA KWA MAFILE HASA MIZIKI hii ndo inanikera sana yaan kama nimechoka kusikiliza huo miziki inabidi niuache tu maana nikiufuta kama ulikuwa wa chainsmokers closer ntakuta na mingine miwili mitatu hiv haipo
3.KUSEMA FAIL IN GETTING INFORMATION hili tatizo nalo silielew linamaanishag nini ila linanikera sana
4.APPS KU STOP BILA SABABU NA SIMU KURUDI HOMEPAGE hili nalo ni tatizo kubwa sana na mara nyingi sana linatokea kweny simu za tecno kwa mfano upo unasikiliza mziki au unacheza game utashangaa gafla kile kitendo kina stop na simu inarud homepage au utaambiwa UNFORTUNATELY THIS APP HAS STOPPED
me nakushauri kama unauwezo kidogo uza hiyo tecno nunua Samsung au Nokia
Dah yan nina simu mbili tecno na nokia tecno haina hata mwaka bt matatizo kama hayo na mengine kibao bt nokia inamiaka kama miwil hivi haina hata tatizo yan inasikitisha kwakwel
 
Hyo camera imetoka kwenye connector yake either ulidodosha or uligongeza mahala na si tatzo la software ni hardware hyo so inatakiwa cm ifunguliwe camera ipachikwe vzur mi ningekufanyie bure kabisa ila hapo kwa fundi andaa si chini ya elf 15
Dah uko wap unifanyie maana hao mafundi watanipiga balaa na hii Hali ya magu crisis duh
 
Back
Top Bottom